TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Wakuu
Kwa habari nilizo zipata muda huu kutoka chanzo changu cha habari chs kuaminika nikwamba Mtikila kafariki dunia kwenye ajali alipokuwa akiwahi kwenye kipindi kwenye kituo cha television ya star tv,
Mkuu asante kutuletea hii taarifa na kuifanya jf iendelea kuwa chaneli ya be the first to know, lakini habari kama hizi za vifo, hazipaswi kutolewa bila verification!.

Vifo vinavyotokana na ajali, verification hufanya na competent authorities kama medical doctor au polisi na sio mashuhuda!.

Mode: Tuwe makini sana!.

Kama ni kweli

Mode nakuomba uzifunge rasmi thread zangu hizi
[h=3]Uso kwa Uso na Mtikila- Akataa Hongo ya Millioni 100! -
[/h][h=3]Mtikila Kutinga Arumeru!. Adaiw Shetani ni Afadhali Kuliko .
[/h][h=3]Kitendo Cha Rev. Mtikila Kugomea Arrest!, Kinastahili Pongezi[/h]
RIP Mchungaji Mtikila.

Pasco
 
kama ni hivyo watadondoka wengi maana wengi wamemtukana sana Bw Lowassa.

Tutashuhudia mengi. Mungi hadhihakiwi na ameshaanza kuthibitisha hilo...

Chadema mnapofurahia kifo hiki itabidi uchunguzi mkali uunganishe na dots za kifo cha Chacha Wangwe, inaonyesha mlivyofurahi basi kuna kitengo cha mambo hayo hapo kwenu, haiwezekani mfurahie msiba. Na ICC iunganishe matukio haya.
 
r.I.p wale wote waliokuwa wanamsema lowassa kwa mabaya kuwa ni mgonjwa wao ndo wanatangulia. liwe fundisho kwa wengine
 
RIP mtikila tuta miss sana matusi yako kwa ukawa. Lowassa anadunda tu, kwa sasa bado yupo Pemba, kweli Mungu ndiye anayepanga ni mzima yupi afe na kuwaacha wagonjwa wanaendelea kudunda. Huu ni msiba ambao lowassa anaweza kuhudhuria bila kuzuiliwa
 
Back
Top Bottom