TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Alikuwa mgombea urais??sasa uchaguzi c utaarishwa??
 
Naanza kumwogopa Lowassa, huenda ana mambo ya ajabu ajabu.....
 
Mungu so Athumani.Anastahili.na wataenda wengi.Hata wale wanaomuita lowasa marehemu
 
Aliwekewa pingamiz na sidhan kama alishinda lile pingamizi
 
Lowassa ni Mjenzi huru, huyu mtu hafai kuwa Rais.
 
Ingekuwa ni uzushi jf wangekuw washatoa huu uzi, mwanzoni waliutoa, nadhani baada ya huo kuthibitishwa wakaurudisha
 
RIP mtikila tuta miss sana matusi yako kwa ukawa. Lowassa anadunda tu, kwa sasa bado yupo Pemba, kweli Mungu ndiye anayepanga ni mzima yupi afe na kuwaacha wagonjwa wanaendelea kudunda. Huu ni msiba ambao lowassa anaweza kuhudhuria bila kuzuiliwa

Hivi St. Giovani, akitoka Pemba anapeleka wapi matumaini? RIP gabachori la kiswahili.
 
Juzi --------------------- jf alipachika maneno ya Nabii Lute kuwa kuna WINGU la msiba mkubwa wa kitaifa katika wakati huu wa Uchaguzi cha kushangaza mods wakautoa uzi huo as if ni uchochezi

acha maimani ya kichawi
 
Mwacheni Mungu aitwe Mungu Huyu bwana alimdhihaki lowasa juu ya ugonjwa wake.
 
Back
Top Bottom