TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

kama ni hivyo watadondoka wengi maana wengi wamemtukana sana Bw Lowassa.

Tutashuhudia mengi. Mungi hadhihakiwi na ameshaanza kuthibitisha hilo...
Kula like ya maana kiongozi. Dhihaka hazifai. Nani aijuaye sekunde ijayo atakuwa katka hali gani?
 
Kuna taarifa mbaya ya ajali inayomhusu Mchungaji Mtikila. Tafadhali aliye na taarifa kamili atujuze zaidi. Nasikia watu wamekufa na wengine kujeruhiwa
 
Kama ni kweli maanake unachaguzi nap so uyasogezwa mbele sasa huyu so alikuwa mgombea uraisi?
 
Nimekuta picha mahali zikionyesha gari ndogo imepata ajali na kuna mwili wa mtu amevaaa suti anafanana kidogo na Mchungaji Mtikila. Kama ni kweli basi Mungu wa UKAWA anaishi
Lowassa ana kesi ya kujibu, yale yale ya CHACHA WANGWE.
 
Back
Top Bottom