middy issack
Member
- Sep 17, 2015
- 65
- 9
Nimepata taarifa za itv hivi punde mtikila amefaliki dunia kutokana na ajali tujitahidi kuchunga ndimi zetu kwani hatuijui kesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Mtikila alimuombea nini Lowasa? Acheni hizo. Mtikila alikuwa anasema kweli tupu kuhusu Lowasa. Ndo maana wameamua kumuua
Kwani Mtikila alimuombea nini Lowasa? Acheni hizo. Mtikila alikuwa anasema kweli tupu kuhusu Lowasa. Ndo maana wameamua kumuua
aiseAlimkashifu lowasa kuhusu ugonjwa,mpaka akatishia kumshitaki mahakamani kwamba kwa nini anagombea wakati ni mgonjwa
Mtikila hakuwa mgombea uraisHule utabiri uchwara wa mgombea urais kufariki umetimia sasa...tabiri kama hizi sio nzuri.
Mungu ailaze roho ya marehemu Mch. Mtikila mahali pema peponi.
Jaman ni kweli au utani?
name kibajaji na mungwulu mchembaKama ni kweli Mtikila amekufa, basi Nape naye ajiandae. Hiki si kitu cha kawaida. Wa tatu huyu sasa anakufa kutokana na kuidhiaki afya ya Lowassa.
Ni wendawazimu kufikiri kwamba kama humuungi mkono Lowasa utakufa,kifo ni mpango wa Mungu,rest in pc Mtikila!
Naomba kumfahamu Mungu wa Lowassa asie mvumilivu anaeua wanaohoji afya yake.
Lowassa Hatimaye ataunda serikali ya kidikiteta isiyohojiwa.