Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,547
...ajuae bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu, mgonjwa kuwa salama Leo tunampa pole....
Kaka huu wimbo nilikuwa nausikia nikiwa mdogo, miaka ileeee, ni nani aliupiga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...ajuae bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu, mgonjwa kuwa salama Leo tunampa pole....
Tatizo wana jf wengi mmesahau au mnajisahaulisha juu ya zile dua na maombi siku ya uzinduzi wa UKAWA pale Jangwani.Kama kuna mwenye video ya yule ostadh atupie tufanye reference.
alikua anaenda star tv?badala ya kuwahi kanisani wewe mchungaji unakwenda star tv, anyway mungu akuweke mahali pema as i trust you were a born again christian.
Hapa Mungu anaingiaje?
Lete ushahidi Kwamba Lowassa Amemuua Mch: Mtikila? Endeleeni Kumsema Lowassa Hata wewe Mungu Atakushugulikia, Mungu Yupo upande wa Lowassa. Ndiyo Mjue Afanyaye Mtu Kuwa Mzima Au Mgonjwa Au Kuua Ni Mungu Chungeni Midomo yenu. Wambie na wenzako. Mtafinywa sana.
Kwanini kila aliyemtabiria kifo mgombea wa urais kupitia ukawa kaanza kufa yeye,je ni wakati wa kuamini maneno ya mtoto wa sheikh yakhya hussen juu ya vifo alivyotabiri wakati wa uchaguzi. Mwisho nawahusia wanasiasa wakumbuke kila muomba chumvi huombea chungu chake falcon mombasa
nimepata taarifa za itv hivi punde mtikila amefaliki dunia kutokana na ajali tujitahidi kuchunga ndimi zetu kwani hatuijui kesho