Kweli hajaumia sana.
Nadhani sasa mmejione umafya wa LOWASSA
mungu anaingia kwasababu Uzima na mauti vyote viko ktk mamlaka yake.
Kama hii ni habari ya kweli, NATUMAI IMETHIBITISHWA NA Moderator,
INASIKITISHA SANA TAIFA LETU LIMEFIKA PABAYA, WATANZANIA WENGI HUMU NAONA BADALA YA KUKUBALI MCHANGO WAKE ALIOULETA MCHUNGAJI MTIKILA KTK AMSHA AMSHA YA DEMOCRASIA, WATU WANAONGEA KANA KWAMBA WAO WATAISHI MILELE NA KUONGELEA 'MABAYA' KUWA ALIKUWA ANAMPONDA MTU FULANI SANA HIVYO KIMTAZAMO WAO WANAONA KAMA AMESTAHILI HIVI, NI MUNGU KAAMUA KUMCHUKUA MWANAE, HAMNA LINGINE HAPO.
Watanzania tumekubali kuwa watumwa wa siasa na siasa INATUGAWA vibaya sana, tumekuwa kama blue band na siasa ni kisu cha moto kikipita katikati yetu. INASIKITISHA SANA.
MUNGU AMETOA NA MUNGU AMETWAA, jina lake LIHIMIDIWE.
R.I.P Mchungaji, C.Mtikila.
Huwajui chadema wewe. Hao ni genge la wahalifu. R.I.P Chacha Wangwe & C.Mtikila damu yenu haitapotea bure.
Kasome biblia vizuri usibwabwaje bwabwaje tu hapa.
Mwisho wa amri zake Mungu anasema....Mimi ni Bwana Mungu wako, Ni Mungu mwenye hasira. Nami huwalipiza visasi Maelfu kwa maelfu.....Na hata kizazi cha tatu na cha nne......
Mungu huyohuyo alisema, usihukumu kabla hujahukumiwa...
Upandacho ndicho uvunacho, panda wema vuna mema.
Pumzika kwa amani Mch.Mtikila, kwangu wewe ni mwanasiasa bora uliyepigania uliyoaamini hasa Tanganyika yako, hakika nitakukumbuka kwa mazuri na mema yako yote.
ndiyo kafariki kwa ajari,nimesikia sasa hivi radio uhuru 95.7 fm darkuna taarifa mbaya ya ajali inayomhusu mchungaji mtikila. Tafadhali aliye na taarifa kamili atujuze zaidi. Nasikia watu wamekufa na wengine kujeruhiwa