Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What! Nini, aliumwa au ajali?
Lowassa anaweza kuua wapinzani wake wote, huyu mtu ni hatari sana.
R.I.P Chacha Wangwe na sasa Mtikila lazima chadema wachunguzwe sana kwa vifo hivi.
Kwani Mtikila alimuombea nini Lowasa? Acheni hizo. Mtikila alikuwa anasema kweli tupu kuhusu Lowasa. Ndo maana wameamua kumuua
Sasa ndo umesema nini? mi nakuona kilaza tu unaeleta ushabiki.Kila mtu apige kampeni za kistaarabu na asimdhihaki mtu yeyote kwa maumbile yake au ugonjwa wake,mambo ya afya za watu tumwachie MUNGU.Swali rahisi la kujiuliza ni kwamba kwa nini LOWASA hatukani mtu yeyote ktk kampeni,CCM imenunua watu wote mpaka watu wa MUNGU mwaka huu ndio mtajua kuwa sauti ya wengi ni sauti ya MUNGU ss ni wana wa MUNGU Tupendane na wala tusitukanane hadharani bila haya wala aibu.