Mungu hadhihakiwi..poleni sana Watanganyika
Kula like ya maana kiongozi. Dhihaka hazifai. Nani aijuaye sekunde ijayo atakuwa katka hali gani?kama ni hivyo watadondoka wengi maana wengi wamemtukana sana Bw Lowassa.
Tutashuhudia mengi. Mungi hadhihakiwi na ameshaanza kuthibitisha hilo...
Lowassa ana kesi ya kujibu, yale yale ya CHACHA WANGWE.Nimekuta picha mahali zikionyesha gari ndogo imepata ajali na kuna mwili wa mtu amevaaa suti anafanana kidogo na Mchungaji Mtikila. Kama ni kweli basi Mungu wa UKAWA anaishi
Nadhani sasa mmejione umafya wa LOWASSA
Hatari sanaTema mate chini