TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Duh inasikitisha.

Ila picha inaonekana kama hajaumia kwa nje.. damu zile
Angelia Picha vizuri ni Kama sehemu ya nyuma ya kichwa hakuna na ngozi imekuja juu Usoni.bwana hutoa na kutwaa. Jina lake libarikiwe.
 
Chadema mnapofurahia kifo hiki itabidi uchunguzi mkali uunganishe na dots za kifo cha Chacha Wangwe, inaonyesha mlivyofurahi basi kuna kitengo cha mambo hayo hapo kwenu, haiwezekani mfurahie msiba. Na ICC iunganishe matukio haya.
ICC inatakiwa uwachunguze na nyinyi maana mnashabikia na kumcheka mtu kuwa mgonjwa, inawezekana kabisa ugonjwa wake mmeusababisha nyinyi.
 
Kwahiyo Lowasa ni mchawi au mungumtu?

Kamwulize kigwangala, Januali makamba na baba yake, bulembo, mwigulu na wengine....kwa nini wanamkashifu mtu ambaye wala hawakashifu ndipo utajua ni mchawi au mungu mtu.
 
Wakuu,

Kuna taarifa kwamba Mchungaji Christopher Mtikila amepata ajali ya gari mkoani Pwani alfajiri ya leo, taarifa zaidi tunasubiria kutoka kwa Kamanda wa Polisi mkoani humo.

=====
UPDATE:

JamiiForums imeongea na Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Jafari Mohamed, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa "Taarifa za mwanzo" zinasema amefariki saa 12 kasorobo asubuhi katika kijiji cha Msolwa, Chalinze.

Amesema gari lililokuwa limempakia lilikuwa linatokea Morogoro na kwamba walikuwa watu wanne ambapo wengine watatu wamejeruhiwa vibaya.

Majeruhi wamekimbizwa katika Hospitali ya Tumbi.

RIP Christopher Mtikila, mtetezi wa haki na wanyonge.
 
TEAMLOWASSA, ukweli unabaki kuwa Lowassa afya yake sio imara, HAWEZI KUTUONGOZA kama taifa, tunataka rais aliye na AFYA imara. TUNAPOSEMA LOWASSA HANA AFYA YA KUTOSHA, sio tusi, tunasema UKWELI, msichanganye madawa kuwa tunamtakia Lowassa mauti, Tunampenda Lowassa na ametutumikia kama waziri mkuu, TUNAMPENDA SANA, na tunamtakia maisha marefu sana mzee wetu, ila KIAFYA HAYUKO SAWA, kazi ya urais inahitaji body & Soul, iko very demanding!
Naona Vijana wa Lowassa mnatoka nje ya mada.
AFYA YA LOWASSA LAZIMA TUIONGELEE, mtake msitake, anagombea urais na anaonekana hayupo na afya ya kutosha ukilinganisha na wagombea wengine.

LAZIMA TUSEME na nyie ni watu wazima mjifunze hata ukubwani sio mbaya, mjifunze kusikia msiyoyapenda.
 
Ccm wanajua nn kimetokea mana ndo wenye barabara mbovu matrafic wako njiani gari alipokuwa ana miliki ma rehem au kama alia zima wanajua ilikuaje so wa tuambie nini kilitokea
 
Nimekuta picha mahali zikionyesha gari ndogo imepata ajali na kuna mwili wa mtu amevaaa suti anafanana kidogo na Mchungaji Mtikila. Kama ni kweli basi Mungu wa UKAWA anaishi
sikujua kumbe mungu wa ukawa ni specialist wa mauaji!!! hana kazi nyingine zaidi ya kuua tuuu?
 
Siamini kupitia nguvu za giza ni Mungu pekee ndiye muweza wa yote. Inaonyesha unaamini juu ya ushirikina na ndio maana akili yako imeathirika na hayo.

Washirilina Ni ccm wanao weka Mwenge umsaidie Magufuli!
 
Dah, atakumbukwa kwa mengi. By the way sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea
 
Hiki Kifo Hakina Tofauti Sana Kimazingira Na Kifo Cha Princess Diana. Ni MTEGO Aliotegewa Muda Tena Wa KIMAFIA Na Yeye AKAJISAHAU Na KUAMINI Watu WANAOMZUNGUKA 24/7. Ukishajitosa Ktk SIASA Lazima Uwe Na AKILI Zote Mbili Za KIMAFIA Na KIJASUSI Na Usiamini Yoyote. Hata Chacha Wangwe Tuliambiwa Ni AJALI Ila Tunajua Wenyewe What Happened. Hao Watu Wengine Aliokuwa Nao NI WA KUCHUNGUZWA Kwa UNDANI Mkubwa. Mliobobea Ktk INTELLIGENCE Scenario Hii IANGALIENI Kwa JICHO PANA. Mtikila ULIJISAHAU Na HUKUJILINDA Kwani Hata Huyo ULIYEKUWA UKIMWANDAMA Anajulikana Mno Tanzania Kwa UMAFIA Kama Yule MAFIA Mwingine Wa KENYA Aliyekuwa AKIWADEDISHA Wenzake Mr. Nicholas Biwwot. Hata Huyo MGOMBEA Hapa Tanzania Ktk Medani Za INTELIJENSIA Anasifika Mno Kwa Kuwabiwott Wenzie Hasa Wanaompinga. Na Najua ILI Kukwepa KUHUSISHWA Na Hiki KIFO Nina UHAKIKA 100% Kuwa Sasa Watahusishwa WANYARWANDA Kuwa Ndiyo WAMEMDEDISHA Na KUFANYA MPANGO Mzima. Hakika USILOLIJUA Ni Sawa Na USIKU WA GIZA.
Mkuu uko usingizini? Naona unaota ndoto nzuri
 
Serikali ifanye uchunguzi mkubwa ili kubaini chanzo cha ajali iliyopoteza maisha ya Mwenyekiti wa chama cha dp mch Christopher mtikila hasa katika kipindi hiki kigumu cha uchaguzi. R.I.P MTIKILA

Serikali ipi? Kama lini au unajitoa ufahamu kutetea huku 7!? Serikali isichunguze hujuma za wazo wazo kama kifo cha Mwangosi, kutekwa na kujeruhiwa Dr Ulimboka, Mabomu kwenye mkutano WA CDM Arusha ndio Leo ikachunguze kifo cha mwanasiasa mufilisi Mtikila tena cha ajali!? Weye unaijuwa serikali ya CCM au unaota mchana kweupe!
 
Back
Top Bottom