TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Siamini kupitia nguvu za giza ni Mungu pekee ndiye muweza wa yote. Inaonyesha unaamini juu ya ushirikina na ndio maana akili yako imeathirika na hayo.

HRT au zile takwimu hukuziona,tz tunaongoza kuamn ushirikina ndo maana hatuendelei
 
Kifo mbele ya muumba ni kitu cha sekunde tu, Allah akitaka kukuchukua hata kama unaongea ghafla unamuona mtu anaanguka tu mm ckanushi kwa hilo ila la msingi ni hizo habari kudhibitishwa kwamba hicho kifo ni kweli kimetokea kwa ndugu yetu mpendwa.
 
Mbona VIGAGULA Na WANAMUME Wa SHOKA Bado TUNADUNDA Tu? Mkuu TUNALINDWA Na VINGI UNAVYOVIJUA Na USIVYOVIJUA Na INAWEZEKANA Wengine TUKIFA NDIYO Ukawa Mwanzo Wa SYRIA au BURKINA FASO Hapa Tanzania. Acha Kabisa Na UKWELI Utabaki Pale Pale Kuwa Huyo MGOMBEA He Is Unfit To Govern Us Whether You Like It Or Not!



Mungu anakuangalia tu what you wish for...!!

Keep bumping ur scented mouth & dirty hole here...!!!

Mungu anakuona...!!!
 
Kwa comment hizi,...watanzania bado tuko nyuma sana kifikra....uwezo wa kufikir ni mdogo sanaaa, so mlitaka afe nan saaa...yaan hata hili mnaingiza siasa...zero kwel nyinyi!
 
Ni kweli alimdhihaki sana ndugu lowasa lakini kwa kipindi hiki cha msiba ni vyema ndugu zangu tukaweka pembeni tofauti zetu na wote tukaungana pamoj katika maombolezo ya watanganyika wote
 
R.I.P mtikila ulikuwa chachi ya demokrasia Tanzania
 
Nitamkumbuka daima mchungaji Christopher Mtikila kama mtanzania mwenye uthubutu wa hali ya juu.Aliyepigania kile alichokiamini kwa nguvu zake zote.

Ni mwanasiasa ambaye alikuwa haishii tu kulalamika bali alichukua hatua za kisheria na mara nyingi alifanikiwa.Mchango wake kwenye kukuza demokrasia nchini hautosahaulika.Yeye kuwa na mapungufu ya hapa na pale ni kithibitisho kuwa alikuwa binadamu wa kawaida.

Mapungufu yake mchungaji hayafuti uthubutu wake wa kupigania mgombea binafsi,katiba mpya na taifa la Tanganyika.Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe....
Ameeeeen!
Wewe uko matured. Mko watu wachache sana kama wewe hapa Tanzania.
 



Amefariki akiongea UKWELI...!!! ni kweli lowassa ni mgonjwa na hafai kugombea hio nafasi, sidhani hata gwaride anaweza kukagua anyways ...Mwenyezi Mungu Amuweke Atakapo stahili.... Tunachochuma duniani ndicho tutakacholipwa akhera ....

Wewe mwenyewe ni mgonjwa
 
Serikali ifanye uchunguzi mkubwa ili kubaini chanzo cha ajali iliyopoteza maisha ya Mwenyekiti wa chama cha dp mch Christopher mtikila hasa katika kipindi hiki kigumu cha uchaguzi. R.I.P MTIKILA

Kwani unahisi kwamba kuna uhusika usiokuwa wa kawaida kuhusiana na kifo hicho?
 
Tangulia kwa Amani! Pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki.
 
Yote ya Mungu ila kula jambo na tukio lina funzo . Kwanza kukaa vizuri na kujiandaa kiroho kwa safari ya milele.


Pli tupange safari vuzuri. Tuendeshe magari baada ya kukamua usingizi wote. Huwezi kuamka saaa tisa au kumi na kuanza kyendesha gari kwa safari ya mvali. Kama hivyo ajiri proffessional drivers. R. I. P C. M
 
siasa hatar na hapo bado hajaingia madarakan akiingia ikulu itakuaje si atatutoa kafara wote

Miikutano ya ccm morogoro watu hawakufa uwanjani nyie si kafara,ajali za barabarani za kila siku ni Lowasa kuna Weu duniani,wewe ulitaka nani afe ?unaingilia mamlaka ya mungu eti Mjomba ??
 
Wakuu,

Kuna taarifa kwamba Mchungaji Christopher Mtikila amepata ajali ya gari mkoani Pwani alfajiri ya leo, taarifa zaidi tunasubiria kutoka kwa Kamanda wa Polisi mkoani humo.

=====
UPDATE:

JamiiForums imeongea na Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Jafari Mohamed, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa "Taarifa za mwanzo" zinasema amefariki saa 12 kasorobo asubuhi katika kijiji cha Msolwa, Chalinze.

Amesema gari lililokuwa limempakia lilikuwa linatokea Morogoro na kwamba walikuwa watu wanne ambapo wengine watatu wamejeruhiwa vibaya.

Majeruhi wamekimbizwa katika Hospitali ya Tumbi.

Mungu si wamchezo. Duh! Haya lala salama wewe uliyejitapa kuwa na afya njema. Uluyedhani utaishi milele na kwamba LOWASA angemufa akakuaha wewe. Nadhani bado Msukuma wa Geita na Mr Makomeo a.k.a bwana PUSH UPS. Ant way, Mungu ailaze roho ya marehemu Mch. Mtikila mahala panapostahili, AMEN.
 
siasa hatar na hapo bado hajaingia madarakan akiingia ikulu itakuaje si atatutoa kafara wote

Mungu atusaidie na alisaidie taifa lake,lakini akituacha basi shetani ataingia nyumba takatifu,
 
Salaam ndugu zangu mwenyekiti wa chama cha dp amefariki dunia leo asubuh akiwa njian mkoan pwan kuelekea dar es salaam akitokea morogoro Chanzo www.mpekuz blog MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPON AMINA AWANA AMETOA NA BWANA AMETWA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
 
Back
Top Bottom