Ajali ya kawaida wakati hata polis hawajatoa ripoti, Unaonekana unajua chanzo cha ajali ndio maana unasema ajali ya kawaida.Ajali ya kawaida,ccm mnaanza propaganda.
Angelia Picha vizuri ni Kama sehemu ya nyuma ya kichwa hakuna na ngozi imekuja juu Usoni.bwana hutoa na kutwaa. Jina lake libarikiwe.Duh inasikitisha.
Ila picha inaonekana kama hajaumia kwa nje.. damu zile
ICC inatakiwa uwachunguze na nyinyi maana mnashabikia na kumcheka mtu kuwa mgonjwa, inawezekana kabisa ugonjwa wake mmeusababisha nyinyi.Chadema mnapofurahia kifo hiki itabidi uchunguzi mkali uunganishe na dots za kifo cha Chacha Wangwe, inaonyesha mlivyofurahi basi kuna kitengo cha mambo hayo hapo kwenu, haiwezekani mfurahie msiba. Na ICC iunganishe matukio haya.
Kwahiyo Lowasa ni mchawi au mungumtu?
Wakuu,
Kuna taarifa kwamba Mchungaji Christopher Mtikila amepata ajali ya gari mkoani Pwani alfajiri ya leo, taarifa zaidi tunasubiria kutoka kwa Kamanda wa Polisi mkoani humo.
=====
UPDATE:
JamiiForums imeongea na Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Jafari Mohamed, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa "Taarifa za mwanzo" zinasema amefariki saa 12 kasorobo asubuhi katika kijiji cha Msolwa, Chalinze.
Amesema gari lililokuwa limempakia lilikuwa linatokea Morogoro na kwamba walikuwa watu wanne ambapo wengine watatu wamejeruhiwa vibaya.
Majeruhi wamekimbizwa katika Hospitali ya Tumbi.
Pelekeni upumbavu wako Freemason lenu linawamaliza wapinzani wake,kisa ikulu,mbwa kabisa,
sikujua kumbe mungu wa ukawa ni specialist wa mauaji!!! hana kazi nyingine zaidi ya kuua tuuu?Nimekuta picha mahali zikionyesha gari ndogo imepata ajali na kuna mwili wa mtu amevaaa suti anafanana kidogo na Mchungaji Mtikila. Kama ni kweli basi Mungu wa UKAWA anaishi
Siamini kupitia nguvu za giza ni Mungu pekee ndiye muweza wa yote. Inaonyesha unaamini juu ya ushirikina na ndio maana akili yako imeathirika na hayo.
Mkuu uko usingizini? Naona unaota ndoto nzuriHiki Kifo Hakina Tofauti Sana Kimazingira Na Kifo Cha Princess Diana. Ni MTEGO Aliotegewa Muda Tena Wa KIMAFIA Na Yeye AKAJISAHAU Na KUAMINI Watu WANAOMZUNGUKA 24/7. Ukishajitosa Ktk SIASA Lazima Uwe Na AKILI Zote Mbili Za KIMAFIA Na KIJASUSI Na Usiamini Yoyote. Hata Chacha Wangwe Tuliambiwa Ni AJALI Ila Tunajua Wenyewe What Happened. Hao Watu Wengine Aliokuwa Nao NI WA KUCHUNGUZWA Kwa UNDANI Mkubwa. Mliobobea Ktk INTELLIGENCE Scenario Hii IANGALIENI Kwa JICHO PANA. Mtikila ULIJISAHAU Na HUKUJILINDA Kwani Hata Huyo ULIYEKUWA UKIMWANDAMA Anajulikana Mno Tanzania Kwa UMAFIA Kama Yule MAFIA Mwingine Wa KENYA Aliyekuwa AKIWADEDISHA Wenzake Mr. Nicholas Biwwot. Hata Huyo MGOMBEA Hapa Tanzania Ktk Medani Za INTELIJENSIA Anasifika Mno Kwa Kuwabiwott Wenzie Hasa Wanaompinga. Na Najua ILI Kukwepa KUHUSISHWA Na Hiki KIFO Nina UHAKIKA 100% Kuwa Sasa Watahusishwa WANYARWANDA Kuwa Ndiyo WAMEMDEDISHA Na KUFANYA MPANGO Mzima. Hakika USILOLIJUA Ni Sawa Na USIKU WA GIZA.
Kamwambie mgombea wako anayetumia nguvu za Giza kuwamaliza wapinzani wake,
Mbaya zaidi amefariki kabla ya kumaliza kazi aliyotumwa na ccm.kweli Siku ya kufa nyani, .....................Jamani mbona cwaelewi amefariki Dunia?
Mtikila hakuwa mgombea uraisi, hakukidhi vigezo hivyo kuenguliwa na Tume
Serikali ifanye uchunguzi mkubwa ili kubaini chanzo cha ajali iliyopoteza maisha ya Mwenyekiti wa chama cha dp mch Christopher mtikila hasa katika kipindi hiki kigumu cha uchaguzi. R.I.P MTIKILA