Siamini kupitia nguvu za giza ni Mungu pekee ndiye muweza wa yote. Inaonyesha unaamini juu ya ushirikina na ndio maana akili yako imeathirika na hayo.
Mbona VIGAGULA Na WANAMUME Wa SHOKA Bado TUNADUNDA Tu? Mkuu TUNALINDWA Na VINGI UNAVYOVIJUA Na USIVYOVIJUA Na INAWEZEKANA Wengine TUKIFA NDIYO Ukawa Mwanzo Wa SYRIA au BURKINA FASO Hapa Tanzania. Acha Kabisa Na UKWELI Utabaki Pale Pale Kuwa Huyo MGOMBEA He Is Unfit To Govern Us Whether You Like It Or Not!
Ameeeeen!Nitamkumbuka daima mchungaji Christopher Mtikila kama mtanzania mwenye uthubutu wa hali ya juu.Aliyepigania kile alichokiamini kwa nguvu zake zote.
Ni mwanasiasa ambaye alikuwa haishii tu kulalamika bali alichukua hatua za kisheria na mara nyingi alifanikiwa.Mchango wake kwenye kukuza demokrasia nchini hautosahaulika.Yeye kuwa na mapungufu ya hapa na pale ni kithibitisho kuwa alikuwa binadamu wa kawaida.
Mapungufu yake mchungaji hayafuti uthubutu wake wa kupigania mgombea binafsi,katiba mpya na taifa la Tanganyika.Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe....
Amefariki akiongea UKWELI...!!! ni kweli lowassa ni mgonjwa na hafai kugombea hio nafasi, sidhani hata gwaride anaweza kukagua anyways ...Mwenyezi Mungu Amuweke Atakapo stahili.... Tunachochuma duniani ndicho tutakacholipwa akhera ....
Serikali ifanye uchunguzi mkubwa ili kubaini chanzo cha ajali iliyopoteza maisha ya Mwenyekiti wa chama cha dp mch Christopher mtikila hasa katika kipindi hiki kigumu cha uchaguzi. R.I.P MTIKILA
siasa hatar na hapo bado hajaingia madarakan akiingia ikulu itakuaje si atatutoa kafara wote
Umempa na mamaako hii taarifa?
Wakuu,
Kuna taarifa kwamba Mchungaji Christopher Mtikila amepata ajali ya gari mkoani Pwani alfajiri ya leo, taarifa zaidi tunasubiria kutoka kwa Kamanda wa Polisi mkoani humo.
=====
UPDATE:
JamiiForums imeongea na Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Jafari Mohamed, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa "Taarifa za mwanzo" zinasema amefariki saa 12 kasorobo asubuhi katika kijiji cha Msolwa, Chalinze.
Amesema gari lililokuwa limempakia lilikuwa linatokea Morogoro na kwamba walikuwa watu wanne ambapo wengine watatu wamejeruhiwa vibaya.
Majeruhi wamekimbizwa katika Hospitali ya Tumbi.
Ajali ya kawaida wakati hata polis hawajatoa ripoti, Unaonekana unajua chanzo cha ajali ndio maana unasema ajali ya kawaida.
siasa hatar na hapo bado hajaingia madarakan akiingia ikulu itakuaje si atatutoa kafara wote