TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Kuna wale pia wanaopiga push up ili kuonyesha wana afya nzuri kuliko wengine.

RIP mchungaji.
 
Serikali ifanye uchunguzi mkubwa ili kubaini chanzo cha ajali iliyopoteza maisha ya Mwenyekiti wa chama cha dp mch Christopher mtikila hasa katika kipindi hiki kigumu cha uchaguzi. R.I.P MTIKILA

Nawewe itabidi tufanye uchunguzi juu ya kuzaliwa kwako, kwanini ulizaliwa?
 
Kwa kifupi ni kuwa hili bandiko na mjadala unaoendelea hapa havina maana kabisa. Sijui moderators wanatarajia thamani ipi zaidi ya kudhihirisha ujinga wa watu kwenye masuala yasiyostahili.

RIP Mtikila.
 
Serikali ifanye uchunguzi mkubwa ili kubaini chanzo cha ajali iliyopoteza maisha ya Mwenyekiti wa chama cha dp mch Christopher mtikila hasa katika kipindi hiki kigumu cha uchaguzi. R.I.P MTIKILA

Na inasemekana alikuwa amepanga wiki ijayo kwenda mahakamani kumpinga mgombea mmoja wa urais ambaye ni fisadi.
 
RIP mchungaji christopher mtikila mungu akuweke panapo kustahili.
 
Hivi kwani ajali ni ugonjwa? Wagonjwa ni wagonjwa tu na hakuna excuse ya kuwasindikiza ikulu
Kuumwa sio dhambi hata kidogo,na nafikiri historia ni mwalimu mzuri tu,naamini ulikuwepo au ulishuhudia uchaguzi wa mwaka 2005 yale yaliyotokea kwa nyakati mbalimbali za kampeni ya Mh Rais wetu Jakaya Kikwete,sitaki kuyasimulia hapa kwa sababu ya heshima ya Rais wetu,ninachotaka kuelezea hapa hakuna anaejua kesho yake wala mustakabali wa afya yake,mbona Rais wetu bado yupo na anafanya kazi vizuri tu?
Tujenge hoja nzuri kwa kumuuza Mh Magufuli na sio kukashifu afya ya mtu.
 
Magamba bana..... Infact kabla ujazikwa lazima madaktari wafanye uchunguzi wao.. Hilo tuwaachie wao na Mungu aliye Mkuu
 
Ww Specialize ktk Mazr yake. Wengine wa specialize ktk mabaya yake. Kwani shida ipo wapi? Ww fanya utakalo na wengine wafanye watakayo!!

Ww ni nani wa kuwachagulia watu mitizamo ktk mambo flaflani??

Mkuu hapo umeongea vizuri;kila mtu anauhuru/haki ya kuwa na mtazamo ktk jambo lolote ilimradi havunji uhuru au amani ya watu wengine.
 
Serikali ifanye uchunguzi mkubwa ili kubaini chanzo cha ajali iliyopoteza maisha ya Mwenyekiti wa chama cha dp mch Christopher mtikila hasa katika kipindi hiki kigumu cha uchaguzi. R.I.P MTIKILA
Uchunguzi wa nini hasa? Kwani mazingira ya hiyo ajali si ya kawaida kutokea?Kisichokuwa cha kawaida kwenye hiyo ajali ni nini mpaka uchunguzi ufanyike?
Poleni sana familia ya mchungaji mtikila!
 
 
Sifikiri km kifo hiki kinaweza kuwa ni cha kiasa,nafikiri Bwn ametoa,na Bwn ametwaa,jina la Bwana libarikiwe,Ameeen
 
hapa napata picha fulani hiviiii, mwafulani ulipokuwa kule upande wapili mara watekwe, wauawe, wanyang'anywe laptop, wategeshewe ajali.

sasa umeenda kule umewageuka . eeeh kumbe weww ndo ulikuwa bingwa wa mizengwe yakufanyizia wenzio anayekugusa tu ananasa kama kagusa waya wa line kubwa ( joke)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…