Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ifanye uchunguzi mkubwa ili kubaini chanzo cha ajali iliyopoteza maisha ya Mwenyekiti wa chama cha dp mch Christopher mtikila hasa katika kipindi hiki kigumu cha uchaguzi. R.I.P MTIKILA
Freemason lowasa anawamaluza wapinzani wake wa kisiasa e mungu liokoe taifa letu,
Serikali ifanye uchunguzi mkubwa ili kubaini chanzo cha ajali iliyopoteza maisha ya Mwenyekiti wa chama cha dp mch Christopher mtikila hasa katika kipindi hiki kigumu cha uchaguzi. R.I.P MTIKILA
Pelekeni upumbavu wako Freemason lenu linawamaliza wapinzani wake,kisa ikulu,mbwa kabisa,
Kuumwa sio dhambi hata kidogo,na nafikiri historia ni mwalimu mzuri tu,naamini ulikuwepo au ulishuhudia uchaguzi wa mwaka 2005 yale yaliyotokea kwa nyakati mbalimbali za kampeni ya Mh Rais wetu Jakaya Kikwete,sitaki kuyasimulia hapa kwa sababu ya heshima ya Rais wetu,ninachotaka kuelezea hapa hakuna anaejua kesho yake wala mustakabali wa afya yake,mbona Rais wetu bado yupo na anafanya kazi vizuri tu?Hivi kwani ajali ni ugonjwa? Wagonjwa ni wagonjwa tu na hakuna excuse ya kuwasindikiza ikulu
Ww Specialize ktk Mazr yake. Wengine wa specialize ktk mabaya yake. Kwani shida ipo wapi? Ww fanya utakalo na wengine wafanye watakayo!!
Ww ni nani wa kuwachagulia watu mitizamo ktk mambo flaflani??
Uchunguzi wa nini hasa? Kwani mazingira ya hiyo ajali si ya kawaida kutokea?Kisichokuwa cha kawaida kwenye hiyo ajali ni nini mpaka uchunguzi ufanyike?Serikali ifanye uchunguzi mkubwa ili kubaini chanzo cha ajali iliyopoteza maisha ya Mwenyekiti wa chama cha dp mch Christopher mtikila hasa katika kipindi hiki kigumu cha uchaguzi. R.I.P MTIKILA
nasikia uchaguzi unasogezwa mpaka february
Pushups za mbinjuko?ni nani huyo GENTAMYCINE?
Jamani mbona cwaelewi amefariki Dunia?
Wakuu,
Kuna taarifa kwamba Mchungaji Christopher Mtikila amepata ajali ya gari mkoani Pwani alfajiri ya leo, taarifa zaidi tunasubiria kutoka kwa Kamanda wa Polisi mkoani humo.
=====
UPDATE:
JamiiForums imeongea na Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Jafari Mohamed, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa "Taarifa za mwanzo" zinasema amefariki saa 12 kasorobo asubuhi katika kijiji cha Msolwa, Chalinze.
R.I.P. Mtikila the great
Tutakukumbuka kwa mengi
Magamba bana..... Infact kabla ujazikwa lazima madaktari wafanye uchunguzi wao.. Hilo tuwaachie wao na Mungu aliye Mkuu