geraldkowero1
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 1,838
- 646
Lowasa mbona mtikila amekuwa mpizani tena wa miaka mungu na amekuwa anawasema serikali lakini alikuwa salama tu,amekusema wewe chali?, Du haya bwana,
Kwa kweli Lowassa alikuwa sahihi kulipa kipaumbele cha kwanza elimu. Alishaona elimu yetu iliyofifishwa kwa makusudi na serikali ya ccm huku viongozi wakiwapeleka watoto wao kusoma nje ya nchi na shule za kimataifa kuja kuchukua uongozi wa nchi wetu hata ewezo wa kujitambua na kupambanua masuala mbali mbali hata yanayowahusu hawana akiwemo na huyu.Kwa akili yake finyu anadhani Lowassa ndie alikuwa ameshikilia uhai wa Mtikila hadi alipoanza kumchafua. Kwa hiyo hata uhai wake mchangia mada uko kwa Lowassa na sio mungu aliemleta duniani hapa. Magamba mna shida kubwa na kuyapata mabadiliko kwenu hadi Lowassa awepo madarakani awape elimu iliyo bora.Fanyeni utani muendeleze ngonjera zenu za ni ile ile mbakie na matatizo yenu kwa miaka kumi ijayo.Wakati wa kutoroka na kufuata maendeleo ya kweli ni sasa. Kwani MABADILIKO UKAWA. UKAWA LOWASSA.