MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,267
Endelea kushupaza shingo tu, ila elewa neno hili, MUNGU HADHIHAKIWI, kumuita binadamu mwezio aliye hai "MAREHEMU" ni dhihaka kubwa! Hii ni mifano tu MUNGU anawapa kuwa Ugonjwa sio kifo kama hamtaki kuelewa basi bakini hivyo hivyo!Ujinga wewe sema mtatupukutisha, usimsingizie mungu,na hakuna mungu wa namna hiyo,kama ukisema MTU ni mgojwa unakufa basi summaye angekuwa ameishakufa alipomtaja kikwete,
Watu wa lowasa wanatutoa njea ya hoja. Hoja ni kwamba afya ya lowasa hatoweza kumudu majukumu urais ipasavyo haijalishi kuna wazima wanakufa kabla ya lowasa. Ebo!
Dada naona umepanic sana lete kilichonona hiko tule achana na wafu...
lete boflo hilo...
Kwa hiyo Mungu kaanzisha chama cha siasa? Acheni ulofa wenu ninyi. Ujuaji wa Kuchanganya Dini Na Siasa ni ulofa uliopitiliza. Alivyofariki marehemu Mtoi (may his soul rest in peace) Mungu alikuwa wapi? Muache kuleta siasa kwenye imani za watu.
hahaha! we jamaa inaonekana kanona si mchezo alilete tulile
lowasa shughurika na kibajaji kwanza kabla ya nape na bulembo . tunataka fanya mambo kabla ya uchaguzi.
Kweli Mkuu, kifo cha Mtikila hakijanisikitisha kabisa, ili kimenifunza kuchunga ulimi! NITAUCHUNGA!