TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Ujinga wewe sema mtatupukutisha, usimsingizie mungu,na hakuna mungu wa namna hiyo,kama ukisema MTU ni mgojwa unakufa basi summaye angekuwa ameishakufa alipomtaja kikwete,
Endelea kushupaza shingo tu, ila elewa neno hili, MUNGU HADHIHAKIWI, kumuita binadamu mwezio aliye hai "MAREHEMU" ni dhihaka kubwa! Hii ni mifano tu MUNGU anawapa kuwa Ugonjwa sio kifo kama hamtaki kuelewa basi bakini hivyo hivyo!
 
Watu wa lowasa wanatutoa njea ya hoja. Hoja ni kwamba afya ya lowasa hatoweza kumudu majukumu urais ipasavyo haijalishi kuna wazima wanakufa kabla ya lowasa. Ebo!

Kweli wewe Ndumbayeye
 
Kwa hiyo Mungu kaanzisha chama cha siasa? Acheni ulofa wenu ninyi. Ujuaji wa Kuchanganya Dini Na Siasa ni ulofa uliopitiliza. Alivyofariki marehemu Mtoi (may his soul rest in peace) Mungu alikuwa wapi? Muache kuleta siasa kwenye imani za watu.

Dah. Kwanza ni Kushangae Mkuu Wangu, Yaelekea Wewe Ni Paganizim, Maana Kama Ungekuwa Na Dini Basi Ungejua Hata Handiko Lisemalo Mamlaka Zote za Dunia Utoka Kwa Mungu.

Mungu siyo Mjinga Awaachie Wanasiasa Wavurude Mambo Ya Nchi Na Watu Wake Ndugu yangu, Ndiyo Maana Sote Tunaamini Mungu. Hata Wanasiasa uwahita Watumishi Wa Mungu Wafungue Mikutano Kwa Sala.

Sasa Kama Mungu Hausiki Watumishi wa Mungu wanaitwaje Kuombea Mikutano Na Amani Ya Nchi?

Nenda Kwenye Maandiko Yote Uone Kama Mungu Hausiki Katika Tawala Za Dunia, unapo andika Kitu Ni vyema Ukatafakari Kwanza Au kama uelewi basi tafuta kuelimishwa Mkuu wangu.
 
Hizo picha maswali kibao. Mkanda wa suruali.. open!! Viatu havipo.!! . Halafu kama tai yake imezunguka uso!! Halafu tuko msibani watu wanakaukwa mate.. "hatujaroga sisi" bila hata kutuhumiwa.. lazima mtu ubaki na bumbuwazi!!
 
Mwenye clips ya video ya yule shekhe aliyefanya maombi siku ya ufunguzi pale jangwani aiweke hàpa tafadhali.
 
Kweli Mkuu, kifo cha Mtikila hakijanisikitisha kabisa, ili kimenifunza kuchunga ulimi! NITAUCHUNGA!

Kifo hakiwezi kukugusa, huna uchungu wala hajafiwa ww, au hujawahi kuondokewa na mtu mhimu. hauna udugu naye. Hivi Allan, ww unayoyaandika ndani ya jf ni mafuta uziri kila mtu akinusa anafurahi. Allan, kila mtu ana ubaya na uzuri wake. ni afadhali Mtikila ni public figure, msiba wa kitaifa, ingawa anaondoka atakumbukwa ktk historia ya nchi. si umeshamtaja. sasa leo ikitokea kwa bahati mbaya (Allah apishe mbali) umauti unakupata, utakumbukwa kwa lipi. hakuna hata wakuku-comment. unatumika vibaya. siasa inakuondolea utu?!. kuwa na akiba ya maneno. hi ni Tanzania.
 
Daa!!!! Nilitamani sana huyu mzee awepo tarehe 25 ili ashuhudie Lowasa ikiapishwa
 
Duh! ............... MAADUI WALIKUWA WANAMFUATILIA KWA NYUMA.......... ALIPOJISHTUKIA AKAONGEZA SPIDI.............. NAO WAKAFURAHI NA KUZIDI KUMFUKUZA! ................... WALIPOFIKA SEHEMU HATARISHI, YENYE KONA NYINGI NYINGI, WALIMUOVATEKI KWA SPIDI KALI NA KUMTWANGA 'LASER BEAM' YA MACHONI ................!
pirate-skull-crossbones-pink-hi.png
 
RIP Mchungaji Mtikila,
Poleni wote tulioguswa na Msiba,
Kazi ya Mungu haina Makosa,
Tunatakiwa Kushukuru kwa kila jambo,
Tulikupenda ila Mungu amekupenda zaidi yetu.
 
Back
Top Bottom