TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Duh...kafa kabla ya Lowassa?Mungu hadhihakiwi

Huu ndiyo ufinyu wa mawazo, kufa kwake kunahusikaje na issue ya Lowasa ambayo imekaa kaa tu hapa? Kuweni watu wenye hofu ya Mungu na mjali utu na ubinadamu. Tatizo la wengi humu kwenye uzi huu mmechukulia taarifa ya msiba kuwa mtaji wenu kisiasa. Shame on you!
 
Ni kukosa upeo kuanza kumtuhumu lowassa anahusika, ccm wanakosa sera gia ya ufisadi na ugonjwa zimeshindwa kufua dafu sasa wanakuja na gia ya kumchafua, nadhani tujifunze kuchunga ndimi zetu maneno huumba, kina Nape,Makamba lusinde et all wajifunze kitu. Hakuna ajuae siku wa saa,marehemu mtarajiwa aweza kua wewe.
 
Lowasa 2015 mabadiliko...ukawa ushindi lazima

Huu ndiyo ufinyu wa mawazo, kufa kwake kunahusikaje na issue ya Lowasa ambayo imekaa kaa tu hapa? Kuweni watu wenye hofu ya Mungu na mjali utu na ubinadamu. Tatizo la wengi humu kwenye uzi huu mmechukulia taarifa ya msiba kuwa mtaji wenu kisiasa. Shame on you!
 
Lowasa 2015 mabadiliko...ukawa ushindi lazima

Huu ndiyo ufinyu wa mawazo, kufa kwake kunahusikaje na issue ya Lowasa ambayo imekaa kaa tu hapa? Kuweni watu wenye hofu ya Mungu na mjali utu na ubinadamu. Tatizo la wengi humu kwenye uzi huu mmechukulia taarifa ya msiba kuwa mtaji wenu kisiasa. Shame on you!
 
Lowassa ni sawa na Mwanafunzi wa YESU aliyeitwa PETRO, maana yake jiwe au Mwamba!

LOWASSA amekuwa akimtumaini MUNGU ndio maana yupo strong mpaka sasa, bila kujali makubwa, magumu ambayo ameyapitia mpaka sasa, Maana maandiko matakatifu kutoka kwenye biblia ZABURI 125.1 yanasema kuwa wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni, ambao hautatikisika wakaa milele!....Hakika Lowassa amemtumaini Mungu ndio maana wamekuwa wakimdhihaki, wakimtusi na kumkejeli lakini amekuwa kimya!

Lowassa ndiye Mwamba ambaye MUNGU ameahidi kulijenga TAIFA juu yake!
 
Yaani ngiri anatumia akili kuliko wewe kilaza
 
Watakuita msaliti sasa hivi
 
Somo jingine nalopata kwenye uzi huu ni jinsi Tanzania itakavyoendelea kuwa nchi isiyo salama kwa albino. Kuna ujinga ambao bado sana hatujafanikiwa kuufuta kikamilifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…