TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Duh...kafa kabla ya Lowassa?Mungu hadhihakiwi

Huu ndiyo ufinyu wa mawazo, kufa kwake kunahusikaje na issue ya Lowasa ambayo imekaa kaa tu hapa? Kuweni watu wenye hofu ya Mungu na mjali utu na ubinadamu. Tatizo la wengi humu kwenye uzi huu mmechukulia taarifa ya msiba kuwa mtaji wenu kisiasa. Shame on you!
 
Ni kukosa upeo kuanza kumtuhumu lowassa anahusika, ccm wanakosa sera gia ya ufisadi na ugonjwa zimeshindwa kufua dafu sasa wanakuja na gia ya kumchafua, nadhani tujifunze kuchunga ndimi zetu maneno huumba, kina Nape,Makamba lusinde et all wajifunze kitu. Hakuna ajuae siku wa saa,marehemu mtarajiwa aweza kua wewe.
 
Lowasa 2015 mabadiliko...ukawa ushindi lazima

Huu ndiyo ufinyu wa mawazo, kufa kwake kunahusikaje na issue ya Lowasa ambayo imekaa kaa tu hapa? Kuweni watu wenye hofu ya Mungu na mjali utu na ubinadamu. Tatizo la wengi humu kwenye uzi huu mmechukulia taarifa ya msiba kuwa mtaji wenu kisiasa. Shame on you!
 
Lowasa 2015 mabadiliko...ukawa ushindi lazima

Huu ndiyo ufinyu wa mawazo, kufa kwake kunahusikaje na issue ya Lowasa ambayo imekaa kaa tu hapa? Kuweni watu wenye hofu ya Mungu na mjali utu na ubinadamu. Tatizo la wengi humu kwenye uzi huu mmechukulia taarifa ya msiba kuwa mtaji wenu kisiasa. Shame on you!
 
Lowassa ni sawa na Mwanafunzi wa YESU aliyeitwa PETRO, maana yake jiwe au Mwamba!

LOWASSA amekuwa akimtumaini MUNGU ndio maana yupo strong mpaka sasa, bila kujali makubwa, magumu ambayo ameyapitia mpaka sasa, Maana maandiko matakatifu kutoka kwenye biblia ZABURI 125.1 yanasema kuwa wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni, ambao hautatikisika wakaa milele!....Hakika Lowassa amemtumaini Mungu ndio maana wamekuwa wakimdhihaki, wakimtusi na kumkejeli lakini amekuwa kimya!

Lowassa ndiye Mwamba ambaye MUNGU ameahidi kulijenga TAIFA juu yake!
 
Duh! ............... MAADUI WALIKUWA WANAMFUATILIA KWA NYUMA.......... ALIPOJISHTUKIA AKAONGEZA SPIDI.............. NAO WAKAFURAHI NA KUZIDI KUMFUKUZA! ................... WALIPOFIKA SEHEMU HATARISHI, YENYE KONA NYINGI NYINGI, WALIMUOVATEKI KWA SPIDI KALI NA KUMTWANGA 'LASER BEAM' YA MACHONI ................!
pirate-skull-crossbones-pink-hi.png

Yaani ngiri anatumia akili kuliko wewe kilaza
 
Dah. Kwanza ni Kushangae Mkuu Wangu, Yaelekea Wewe Ni Paganizim, Maana Kama Ungekuwa Na Dini Basi Ungejua Hata Handiko Lisemalo Mamlaka Zote za Dunia Utoka Kwa Mungu.

Mungu siyo Mjinga Awaachie Wanasiasa Wavurude Mambo Ya Nchi Na Watu Wake Ndugu yangu, Ndiyo Maana Sote Tunaamini Mungu. Hata Wanasiasa uwahita Watumishi Wa Mungu Wafungue Mikutano Kwa Sala.

Sasa Kama Mungu Hausiki Watumishi wa Mungu wanaitwaje Kuombea Mikutano Na Amani Ya Nchi?

Nenda Kwenye Maandiko Yote Uone Kama Mungu Hausiki Katika Tawala Za Dunia, unapo andika Kitu Ni vyema Ukatafakari Kwanza Au kama uelewi basi tafuta kuelimishwa Mkuu wangu.

Watakuita msaliti sasa hivi
 
Somo jingine nalopata kwenye uzi huu ni jinsi Tanzania itakavyoendelea kuwa nchi isiyo salama kwa albino. Kuna ujinga ambao bado sana hatujafanikiwa kuufuta kikamilifu.
 
Back
Top Bottom