TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Bora Kafa tupumue kidogo.
Na wanafiki wote wengine wafe tu km kina Gwajima and Co.
Tumboni mwa dunia ni bora kwao
Kuliko mgongoni pake.

Kazi yao kutapeli watu tu na kuleta Unafiki na Uchonganishi ktk Jamii.
 
Mm yeye ndiye kawa wa kwanza kutoa rambirambi!!!
 

Ukawa hata wao wenyewe hawajitambui, wanakurupuka tu na mihemko unadhani hilo wanaliona!! Wataongea kila kitu kujifariji na kumsingizia Mungu kumbe huo ni muungu wao.
 
aache unafiki wakati ndie msuka dili hiii ikulu hiiii jamani laaaaaa mtatumaliza ila ikulu utaisikia ............
 
Yaan nimefarijika sana kuona salamu hizi mpaka nimepata nguvu.
Tuko huku vijijini mwanza tunakutafutia kura nyumba baada ya nyumba niliposoma ujumbe huu nguvu imeongezeka tunapiga mzigo hadi jion.

Viva lowasa
 
Mnafiki mkubwa,angesubiri afungue kesi ya kumpinga, hukumu itolewe kwanza Kabla ya kufanya anayoyafanya. Lakini mmejua kuwamziki wa Mtikila hamuuwezi, maana hajawahi kushindwa kesi yoyote
 

Acha upagani. Dini gani inayoruhusu kumuombea marehemu awekwe sehemu nzuri baada ya kifo?
 
Namkubali sana huyu jamaa, mwenzake makufuli cha pombe yuko busy na pushup hata haelewi kinachoendelea cc Mr Chin
 
Last edited by a moderator:
Kwa mara kwanza katika historia mgombea wa CCM kuhofia kuibiwa kura.
 

Attachments

  • 1443964098015.jpg
    54.6 KB · Views: 304
Nimepokeakwa mshtuko taarifa ha kifo cha Mch. Mtikila. Ni miongoni mwa wanasiasa waliotoa mchango mkubwa sana katika kupigania utawala wa demokrasia na haki za raia. Historia ha demokrasia haiwezi kuandikwa kwa usahihi bila kumtaja Mtikila. Mungu ailaze roho yake pema peponi na kuwafariji wafiwa wote na wote walioguswa na msiba huu.RIP
 

…na je tukimchagua mzima na baada ya kama wiki moja akapatwa na maradhi akiwa ikulu inakuaje?…
 
"Ajuaye bwana mola, kea mzima kuwa mfu, mgonjwa kuwa salamaa eeeh, tunawapa pole.

Kipindi chenu chawapeni pooole, wooote twawapeni pole"

Hayo yalikuwa mashairi ya kipindi cha RTD cha "Pole", maalum kwa kuwapa wagonjwa pole.
 
Kuna mgombea kapeti lake la kwenda Ikulu limejaa damu za wabaya wake. Na bado wapambe wake wanasema kuna wengine bado watakufa kwasababu wamemkashifu. Ndio maana bendera ya chama chake ina rangi nyekundu.

Mungu TUSAIDIE.

Queen Esther

Wewe wasema, niliisema hii kitu ya kuoga damu ili upande ikulu na kuwapumbaza watu wakupende bila kujiua Masikini Tanzania yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…