Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu akiambiwa mgonjwa hafai kushika madaraka haina maana atakufa Bali hoja ni kwamba akiwa kiongozi mwenye maradhi atashindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo!
Mtikila hakusema Lowassa atakufa, Bali alisema si busara kumpa dhamana ya watu m58 kiongozi mgonjwa!
Si haramu kumzuia MTU kufanya kazi Fulani kutokana na ugonjwa flani
Tuache UPOTOSHAJI
Jamani ajali ni ajali. Tumuombee Mchungaji Mtikila apumzike kwa amani. Kuhusu usemi wake kuhusu afya ya Lowassa kwani inahusiana nini na hili? Lets not be superstitious!! Ninadhani Katiba ya nchi inacho kipengele kuhusu afya ya raisi, kwani asipokuwa na uwezo wa kiafya (kimwili na kiakili majukumu atapewa mwingine). Na tusubiri tuone, lakini mwenye macho haambiwi tazama.
Tunajua nguvu ya mafisadi inavyofanya kazi ...lakini itashindwa tu
Namkubali sana huyu jamaa, mwenzake makufuli cha pombe yuko busy na pushup hata haelewi kinachoendelea cc Mr ChinNapenda kuchukua nafasi hii kwa masikitiko kutuma salamu za rambirambi kwa Familia pamoja na wanachama wa Chama cha DP (Democratic Party) kufuatia kifo cha Mchungaji Christopher Mtikila kilichotokea asubuhi ya leo tarehe 4 Oktoba 2015. Kwa niaba ya wenzangu katika CHADEMA na UKAWA na kwa niaba ya familia yangu, ninamwomba Mwenyezi Mungu awape faraja wafiwa na amweke Marehemu mahala pema.
Bwana Ametoa. Bwana Ametwaa. Jina Lake Lihimidiwe.
Edward Ngoyayi Lowasa
Ushahidi wa kuhusika kwake unao???aache unafiki wakati ndie msuka dili hiii ikulu hiiii jamani laaaaaa mtatumaliza ila ikulu utaisikia ............
Ni kosa kudhihaki au kuhukumu, kwa kutoa lugha za kashfa lakini si kosa ku criticise afya ya mkombea kwa nafasi ya urais..Taifa letu linaitaji rais mwenye afya njema physically and mentally ili aweze kutimiza majukumu yake vizuri. Hilo si kosa na its a constructive criticism, hayo mengine yakuitana marehemu, jeneza sasa hapo ni kuvuka mipaka. Maoni yangu ni kwamba Lowassa is not physically fit to be a president. Hata mikutano kuhutubia mfano umoja wa mataifa amesimama kwa saa moja au bunge ataweza? hiyo ni kasoro nani bora angepumzika kuangalia afya yake na aishi maisha ya amani na furaha.
Kuna mgombea kapeti lake la kwenda Ikulu limejaa damu za wabaya wake. Na bado wapambe wake wanasema kuna wengine bado watakufa kwasababu wamemkashifu. Ndio maana bendera ya chama chake ina rangi nyekundu.
Mungu TUSAIDIE.
Queen Esther