"Ajuaye bwana mola, kea mzima kuwa mfu, mgonjwa kuwa salamaa eeeh, tunawapa pole.
Kipindi chenu chawapeni pooole, wooote twawapeni pole"
Hayo yalikuwa mashairi ya kipindi cha RTD cha "Pole", maalum kwa kuwapa wagonjwa pole.
kama ni hivyo watadondoka wengi maana wengi wamemtukana sana Bw Lowassa.
Tutashuhudia mengi. Mungi hadhihakiwi na ameshaanza kuthibitisha hilo...
Hakuna aliefurahia kifo hapa mkuu ila tu kila mtu ajue kuwa kumdhihaki mwenzako ambae wewe unamuona mgonjwa kukuzidi wewe sio vzr sasa unakufa wewe b4 huyo mgonjwa
Mungu hadhihakiwi..poleni sana Watanganyika
Amesoma alama za nyakati ogopa mungu bwana.
Kwa hiyo kumbe Lowasa siyo mgonjwa? Kwa hiyo wewe unataka tumpeleke ikulu ili akapate nafuu ya kujitibia kwa fedha zetu na mfululizo wa ruhusa za mapumziko ya ugonjwa? Hivi unajua kuwa ikulu kulala ni bahati na kazi ni nyingi kuliko muda? Kama Mtikila atakuwa amekufa ujue hajafa na hoja hii. Swali liko pale pale. Ikulu siyo chaka la wagonjwa. Bora aende mtu mzima ugonjwa uanzie akiwa tayari ikulu na siyo aende nao eti tunamsindikiza sisi watanzania.
Roho nyeupe......
Mnafiki mkubwa,angesubiri afungue kesi ya kumpinga, hukumu itolewe kwanza Kabla ya kufanya anayoyafanya. Lakini mmejua kuwamziki wa Mtikila hamuuwezi, maana hajawahi kushindwa kesi yoyote
Unaamini kuwa wa?kwa nini unadhani hivyo?Mtauwa wengi wapinga mafisadi lakini ukweli daima hautaachwa kusemwa uweni sana kwani nyie hamtakufa na hilo fisadi lenu.