CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
"Ajuaye bwana mola, kea mzima kuwa mfu, mgonjwa kuwa salamaa eeeh, tunawapa pole.
Kipindi chenu chawapeni pooole, wooote twawapeni pole"
Hayo yalikuwa mashairi ya kipindi cha RTD cha "Pole", maalum kwa kuwapa wagonjwa pole.
Kifo cha Mtikila kimekufanya mpaka unaamini uwepo wa Mola? Vyema lakini.