TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

"Ajuaye bwana mola, kea mzima kuwa mfu, mgonjwa kuwa salamaa eeeh, tunawapa pole.

Kipindi chenu chawapeni pooole, wooote twawapeni pole"

Hayo yalikuwa mashairi ya kipindi cha RTD cha "Pole", maalum kwa kuwapa wagonjwa pole.

Kifo cha Mtikila kimekufanya mpaka unaamini uwepo wa Mola? Vyema lakini.
 
kama ni hivyo watadondoka wengi maana wengi wamemtukana sana Bw Lowassa.

Tutashuhudia mengi. Mungi hadhihakiwi na ameshaanza kuthibitisha hilo...

Ni kweli Mungu hadhihakiwi
 
Hakuna aliefurahia kifo hapa mkuu ila tu kila mtu ajue kuwa kumdhihaki mwenzako ambae wewe unamuona mgonjwa kukuzidi wewe sio vzr sasa unakufa wewe b4 huyo mgonjwa

Kwani ukiwa mgonjwa lazima ufe.... Kufa kila mtu atakufa ,,.. Isiwe kigezo cha kuzuia watu kutoa comment zao kuhusu afya za wanaotaka kushika uongozi wa Juu wa taifa..
 
Mungu hadhihakiwi..poleni sana Watanganyika

Hivi kila anayekufa amemdhihaki Mungu? Mbona tunakuwa wapumbavu kiasiiii hiki?? Wewe uhusiano wako na Mungu ni siri na Mungu wako. Usilitaje bure jina la Mungu wako..
 
Dah? Rip mchungaji. Tulipenda sana uwepo wako 25 uone ccm inavyong'atuka. Mungu wanasuru sana wengine wajionee 25 oktb.
 
mwaka huu hatari sana ukiangaliapicha ya mtikila hana hata jeraha alafu gari sasa halifai hapa kuna shida siamin kama ni ajali nahis wamemnyonga wakatengeneza ajali,huyu jamaa huyu sijui kwa nn historia inaonyesha ukimtaja tu kwa vyombo vya habar jua tu ukikoswa na kifo au ufe anzia richmond utaona,na alikuwa anaenda itv kutoa taarifa muhimu sana.
 
Kulingana na maelezo ya Mchungaji msaidizi (Majeruhi) aliyekuwamo kwenye gari pamoja na marehemu Mch. Mtikila, inaonekana Mtikila alikaa kiti cha mbele na haiyumkini hakufunga mkanda au mkanda ulikatika kama kweli huwa unaweza katika wakati wa ajali. Kile kitendo cha kurushwa mbele ya gari kupitia kioo cha mbele (Windscreen), ni kielelezo tosha kwamba tatizo lilianzia kwenye ukaaji na mkanda. Lakini pia hii inajibu lile swali kwamba, Mtikila hakuwa dereva bali abiria.

Mung awape faraja wote walioguswa na msiba huu!
 
Kwa hiyo kumbe Lowasa siyo mgonjwa? Kwa hiyo wewe unataka tumpeleke ikulu ili akapate nafuu ya kujitibia kwa fedha zetu na mfululizo wa ruhusa za mapumziko ya ugonjwa? Hivi unajua kuwa ikulu kulala ni bahati na kazi ni nyingi kuliko muda? Kama Mtikila atakuwa amekufa ujue hajafa na hoja hii. Swali liko pale pale. Ikulu siyo chaka la wagonjwa. Bora aende mtu mzima ugonjwa uanzie akiwa tayari ikulu na siyo aende nao eti tunamsindikiza sisi watanzania.

Ulizaliwa au ulioteshwa kama mchicha? hiyo reasoning yako...!
 
You were one of my heros Mchungaji Mtikila. RIP!
 
Alisema kuwa Edo hana Afya anaweza kufa at any time...vp sasa tena! Mambo ya afya na Uzima ni ya God.
 
Mnafiki mkubwa,angesubiri afungue kesi ya kumpinga, hukumu itolewe kwanza Kabla ya kufanya anayoyafanya. Lakini mmejua kuwamziki wa Mtikila hamuuwezi, maana hajawahi kushindwa kesi yoyote

Kipimo upimacho ndicho nawewe utapimiwa. leo umekua mhukumu wa wazima na wafu.
 
Back
Top Bottom