TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Alianza komba,kombani na sasa mtikila na hawa wato walizihaki! afya na uzima ni mipango ya m/mungu
 
Wazima tu ndio wanakufa wanawaacha wale wanaoitwa wagonjwa
 
walivyokuwa wanamtukana lowassa wanaona raja hee. had I wanamuita marehemu mzee wa watu na bado wengi tu watafuata

Sasa hata kama alimtukana huyo Lowasa wenu adhabu yake ndio kumuua? ngojeni tu damu yake haitakaa ipotee bure.
 
RIP Mchungaji Mtikila. Umemaliza kazi yako, tutakukumbuka kwa mchango wako katika kudai demokrasia na Tanganyika. Vuguvugu lako la kudai mgombea binafsi lipo kwenye historia tayari. Kutofautiana itikadi haina maana imeondoa ubinadamu na utanzania wetu. Mungu ailaze roho yako mahali pema.
 
Mtaanza kufa nyie mtamuacha mtikila,hizo story za watoto waliozaliwa ktk uongozi wa mkapa
 
tatizo wanatoa kauli za dhihaka utafikiri wao ndo Mungu

MUNGU yupi mnaye mzungumzia? kama ni huyu wa UTATU MTAKATIFU (Baba, Mwana na Roho mtakatifu) NO NO NO.......MUNGU wetu hayupo kutoa roho za watu ili ziangamie. Hiyo ni kazi ya ibilisi shetani.
 
Huyu Mtikila aliyekuwa akisema kuwa Lowassa Mgonjwa siku ya Jumapili au mwingine!

Hii taarifa yaweza kuwa ya kubuni!

Kama kweli basi Mungu ana maajabu kweli!
 
Innalillah Wa Innailaih Rajiuun. WAGONJWA WANAPETA. WAZIMA WANAONANGA WENZAO NDO HAO WAMEUNGANA NA WENZAO WALIOTANGULIA KUZIMU
 
Mungu kamchukua mapema huyu mnafki, nilipenda ashuhudie Mhe Lowassa akikabidhiwa Ikulu baada ya Oktoba 25.
 
Back
Top Bottom