ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
kweli maishj kayashikilia Mungu R.I.P.mchungaji mtikila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kweli maanake unachaguzi nap so uyasogezwa mbele sasa huyu so alikuwa mgombea uraisi?
Daa!!r.i.p ila yote hayo lowasa bado anapumua!!
Naanza kumwogopa Lowassa, huenda ana mambo ya ajabu ajabu.....
Itakuwa ni internal damage kapata au mshituko umemuua, mwili wake haujaparaganyika kama tunavyoonaga maiti zingine za ajali.
Tusitishane. Lowasa ni MGONJWA kama tulivyo wengi. Mtikila alikuwa mzima kuliko Lowasa.Mtikila alimwona EL kama vile hana haki ya kuishi
Iliniuma sana Tuchunge ndimi zetu
Hivi akili gani hizi? Yaani Mchungaji Mtikila kauwawa na Mungu gani huyu wa ajabu? Kweli mnahitaji reality check! Mnapoandika ujinga kama huu ndo mnazidi kupoteza mvuto! Eti Mungu!
Mtikila afariki. Mwenye taarifa sahihi atutaarifu.
Basi naanza kumwogopa Mungu wa Lowassa, anaelipa visasi badala ya kusamehe.Unaanza kumuogopa lowassa kwani lowasa Ni Mungu???....muogope Mungu.