TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Sasa sijui nianze kuwaamini wazee wa nyota watabiri kwa sababu mtoto wa sheikh Yahya alitabiri na kusema kuna mgombea urais atakufa kabla ya uchaguzi na ndio yametokea hapa. Mungu umrehemu mja wako Mtikila
 
Hivi akili gani hizi? Yaani Mchungaji Mtikila kauwawa na Mungu gani huyu wa ajabu? Kweli mnahitaji reality check! Mnapoandika ujinga kama huu ndo mnazidi kupoteza mvuto! Eti Mungu!

Mkuu Mchungaji kauwawa kivipi ??

Umeshiriki mauaji??
 
Mtikila afariki. Mwenye taarifa sahihi atutaarifu.

Mkuu siku nyingine pitia kwanza JF kabla hujapost........hata sisi tulisikia tetesi tukasubiri.......ona sasa ulivyoandika shauri ya haraka...........
 
Zaburi ya 90 na 91 ndo wimbo wa lowassa kila asubuhi saa 11 kabla jua halijachomoza
 
Duh! Rip jamani mwenyeenzi mungu akulaze maals pema, jamani tusipende kuhukumu watu, yeye alisema lowasa Ni marehemu duh!!
cc to Nape Nauye, Makamba, faidhafoxy na wote mnaopenda kuhukumu watu na kumdhiaki mwenyeenzi mungu
 
Back
Top Bottom