Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ifanye uchunguzi mkubwa ili kubaini chanzo cha ajali iliyopoteza maisha ya Mwenyekiti wa chama cha dp mch Christopher mtikila hasa katika kipindi hiki kigumu cha uchaguzi. R.I.P MTIKILA
Kwa nini wanaomsema lowasa mgonjwa wanavuta wao?
asmeandika contradiction tupu. Siamini kama Mungu karuhusu kifo cha Mtikila kwa ajili ya dhambi za Mtikila dhidi ya utakatifu wa lowasa na wafuasi wake. Nikionacho ni roho ya visasi na uuwaji ya kutaka kila anayekukosoa afe. "Heri Kijana maskini, kuliko mfalme mzee tajiri, asiyepokea maonyo." Ukimukosoa lazima ufee.Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Mungu husikia kilio cha wengi. Pia Mungu wetu haambiwi la kufanya kwani kama mbingu zilivyo mbali na dunia ndivyo mawazo ya Mungu ni tofauti na ya mwanadamu. Hivyo reasoning yako ni yako na sio ya Mungu. Anaweza akafanya leo kwako na akafanya kwa mwingine miaka kumi ijayo ingawaje wote ni watenda dhambi. Hivyo piga magoti kwani hujui lini atakushukia na wewe!
Asee, hapa kuna mkono wa mtu bila shaka, sasa naanza kuamin kuwa tanzania ni mara 1000000 kuwa na ccm kuliko kubadili..
Freemason lowasa anawamaluza wapinzani wake wa kisiasa e mungu liokoe taifa letu,
Hapa ndipo penye siri ya Mungu wapiga push up wanaondoka wagonjwa wanaendelea kudunda.
nasikia uchaguzi unasogezwa mpaka february
Nyie badala ya kuangalia mienendo yenu na kuchunga ndimi zenu mnaanzisha propaganda . Mungu adhihakiwi mtaisha wote pumbavu[/QUOTE
Wewe ni agent wa mashetani ya mgombea wenu ndo maana unashangilia wapinzani wake anaowamaliza kwa nguvu za Giza,
walivyokuwa wanamtukana lowassa wanaona raja hee. had I wanamuita marehemu mzee wa watu na bado wengi tu watafuata
Alimkashifu lowasa kuhusu ugonjwa,mpaka akatishia kumshitaki mahakamani kwamba kwa nini anagombea wakati ni mgonjwa