TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Huyu ndie Rais sasa...!!!

Lowassa hakika umejaliwa HEKIMA, UVUMILIVU NA BUSARA KUBWA SANA... wengi Mungu katunyima...!! Mungu kakupa wewe vitu vingi ambavyo wengi tumekosa...!!

Hongera Rais wetu mtarajiwa...!!!

You touched our souls, hearts and daily lifes ni POSITIVE WAYS... na kujifunza mengi kutoka kwako Baba Lowassa...!!!


Mtikila, Mungu amlaz
Mtikila alikutukana sana, Ila bado umemuombea kwa Mungu amlaze pepa peponi...

Wewe ni zaidi ya Rais...!!!

Mungu akupe yote utakayo Baba Lowassa...!!!
ni wapi alipotamka kwamba anamuombea Mtikila ili Mungu Amlaze Pema Peponi?
 
Mtauwa wengi wapinga mafisadi lakini ukweli daima hautaachwa kusemwa uweni sana kwani nyie hamtakufa na hilo fisadi lenu.

Simiyu yako acha kupotosha. Yaani Mtoi aliyepata ajali kauawa?Wale waliopata ajali nao wameuliwa?Kuna mazingatio(Holy Quran inasema Kwa Kila tukio KUNA MAZINGATIO-KWA WENYE KUTAFAKARI)
Aina yoyote ya dhihaka hasa mambo ya Uhai na Ugonjwa wa Mja wa MUNGU hayapaswi kuwa AJENDA popote,ila MAGAMBA wanaifanya AGENDA, kumbe hakuna ajuae kesho. Ila naona Team Lumumba hawataki kukubali tu kuwa matamshi yao hayapendez kwa Mungu Muumba. Sasa badala ya kukiri na kuwakemea wahusika, wanaamua kuleta Propaganda!
 
so bavicha saa hizi mnatishia watu na kifo,,,,mstatumaliza wajameni...

Walipofungulia mlango pepo aingie na wao wakageuzwa akili zao na kuwa mapepo? Wanataka kuingia ikulu KUWEKA mikataba ta kuzimu ili watanzania wawe magenta wa kuzimu,pepo kabisa mungu tusaidie tunaangamia,
 
Kama vyombo vya usalama vinashindwa kuwalinda raia wake kuna umuhimu gani wa kuipigia kura ccm ambayo serikali na vyombo vyake vitakuwa vile vile. Tufanye mabadiliko chagua Lowasa
 
Mapepo ya Gwajima, Mapepo ya Mwingira. Poleni wahanga, r.i.p mchungaji.
Ila najua Dr Magufuli hawamuwezi! Maana ulinzi alionao ni wa yule Mungu mkuu na ndiye anayetakiwa kuwa rais wa taifa. Hakuna cha mapepo ya hao wachungaji wala nini, lazima awe rais na awashikishe adabu, maana kama mwingira ni mnafiki anajifanya ndumila kuwili kumpalilia mlutheri mwenzake na fisadi mwenzake wa ardhi, na lazima ardhi anyang'anywe!

Hayo maneno ya kichochezi mnayotoa yatatugarimu sote, kwa mwenye upeo na busara ni bora tungemuomba MUNGU kwa mustakabali wa taifa letu na si vinginevyo. Mungu ibariki Afrika mungu ibariki Tanzania, R.I.P Mchungaji.
 
Wafuasi wa marehemu poleni na Mungu awatie nguvu. Vita inaendelea ya kumuenzi mchungaji Mtikila kupitia kamanda Magufuli. Tusonge mbele tutaungana naye kwa wakati wetu baada ya kukamilisha ulinzi wa nchi yetu isiibwe na genge la wajanja wa kimataifa
 
RIP Rev Mtikila.

Hivi kuna Statistics yoyote ya ajali za barabarani. Tunaweza kuwa tunatilia mkazo tu Kwenye ukimwi na malaria lakini ukakuta ajali za barabarani zinaua zaidi.
 
huyo mungu wenu anayeruhusu mpakwa mafuta wake adai kupewa uji mdomoni ili akae kimya asiuseme ukweli aliosimamia hapi awali bado na pata taabu sana. mungu anaye ruhusu mtu wake anayetaka kumpa uongozi awape wengine uji ili washindwe kusema maovu yake mimi bado na mshangaa. ngoja tusubiri mwisho tuone maana Mungu nimjuaye mimi hadhihakiwi na matendo yake ni makuu na ni ya ajabu.
 
inawezekana.....hata hivyo unapaswa kujua kuwa afya ni karama kutoka kwa Mungu. anaweza akakunyang'anya wewe unayejifanya mzima kuliko mwingine na yule unayemdhihaki kwa kuitisha press confderence akaachwa.

Kama kusema MTU ni mgojwa unakufa basi madaktari wagekuwa wameisha duniani,
 
Kweli Mkuu, kifo cha Mtikila hakijanisikitisha kabisa, ili kimenifunza kuchunga ulimi! NITAUCHUNGA!

Chief...unajua watu wengine ni wajinga sana. Mtu mgonjwa anapaswa kuombewa afya yake iimarike na apone kabisa. Hata waliohukumiwa kunyongwa sidhani kama hunyongwa wakiwa confirmed kuwa ni wagonjwa.

wamegeuza udhaifu wa EL kuwa mtaji wa kisiasa na fimbo ya kumchapia....God is watching!
 
Kweli Mkuu, kifo cha Mtikila hakijanisikitisha kabisa, ili kimenifunza kuchunga ulimi! NITAUCHUNGA!

Hatuwezi kusikitika maana wewe ni agent wa shetani linalotaka kwenda ikulu,akili yako inaogozwa na misukule ya gwajima,mbona summaye alipomtaja kikwete ni mgojwa mbona hajafa? Litakufa na lenyewe tu siku IPO,
 
Uchunguzi WA kina ufanyike,kama siasa inahusika Halo wawajibishwe bila kificho.
 
Hatari sana
📌 Mchungaji Christopher Mtikila-ni kiongozi wa chama cha upinzaniaTanzania-cha-Democratic Party-(DP).

Mtikila alizaliwa-Iringa, kusini mwa Tanzania, mwaka-1950. Pamoja na shughuli za siasa, Mchungaji Mtikila ni mwanzilishi na mkuu wa kanisa la kipentekoste la-Full Salvation Church. Mchungaji Mtikila anajihusisha pia na harakati za haki za binadamu kwa kupitia kitengo cha haki za binadamu cha kanisa hilo kiitwacho-Liberty Desk. Mwanzoni mwa miaka ya 90, mchungaji Mtikila alijipatia umaarufu mkubwa katika siasa za Tanzania kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuongea, upinzani wake dhidi ya muundo wa muungano kati ya-Tanganyika-naZanzibar, madai yake kuhusu uhujumu wa uchumi unaofanywa na wahindi (ambao anawaita Magabacholi), na kesi mbalimbali za kikatiba alizokuwa akifungua katika mahakama za Tanzania.

Kwa muda mrefu chama chake cha DP hakikuweza kupata usajili wa kudumu kutokana na kukataa kwake kutambua Zanzibar. Alikuwa akisisitiza kuwa chama chake ni cha Tanganyika na sio Tanzania. Hata hivyo Mtikila amebadili msimamo wake katika miaka ya karibuni kwa kukubali kutafuta wanachama toka Zanzibar (kama sheria ya uchaguzi inayotaka) na hivyo chama chake kuweza kupata usajili wa kudumu. Mtikila alikuwa ni kati ya wagombea 10 wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2005. Katika uchaguzi huo alipata kura asilimia 0.27.

Kesi za kikatiba ambazo amewahi kufungua ni pamoja kesi ya kutaka wagombea binafsi kuruhusiwa katika uchaguzi Tanzania, wananchi waTanzania Bara-kuruhusiwa kwenda Zanzibar bila pasipoti, na vyama vya siasa kuruhusiwa kufanya mikutano bila kuomba kibali toka kwa-Mkuu wa Wilaya-na polisi.

Mtikila alifungwa kwa mwaka mmoja mwaka 1999 baada ya kupatikana na hatia ya kutoa maneno ya kashfa dhidi ya aliyekuwa katibu mkuu wa-CCM, marehemu Horace Kolimba. Mwaka 2004 alihukumiwa kifungo kilichosimamishwa cha miezi sita kwa kutoa maneno ya kashfa dhidi ya mkuu wa polisi wa wilaya ya-Ilala.
 
Hakuna mungu wa kusema kitu ni fisadi wakati ni fisadi na dunia inajua eti unakufa,hiyo hatakuwa mungu ninayemuomba usiku na nchana,fanyeni kazi yenu wamalizeni wapinzani wenu lakini siku IPO hataishi milele?
Acha kupotosha, Sijazungumzia ufisadi hapa! Ufisadi ni huko CCM.
Nazungumzia kitendo cha wanaCCM na vibaraka wao akiwemo Marehemu kumkejeli na kumtukana Mzee Lowassa
kuwa ni Mgonjwa! Hafai, "amejinyea!!" etc...
Kinachotokea sasa wale waliokuwa wanajitapa kuwa ni wazima kutokana na Kiburi cha afya njema, sasa tunawaita Marehemu!

MUNGU HADHIHAKIWI!!!
 
Safari njema mwanausalama mwenzetu. Nasikitika tu kwamba CCM tumekutumia na sasa ulikuwa huna thamani tena umeamua kujiondokea. Mungu hapendi dharau na majigambo.
 
NASIKITIKA SANA WANA-UKAWA WANASHABIKIA KWA HISIA YA KUFURAHIA KIFO CHA MCH. MTIKILA UTADHANI YEYE NDIYE ALIKUWA KIKWAZO KWA MGOMBEA WA UKAWA KUINGIA IKULU. TUKUMBUKE KUA SOTE HATUKUUMBWA KWA NAMNA MOJA. Mtikila hayupo tena. haina maana wakusema hawatasema tena. kipimdi cha kampeni hua ni kipindi cha mpito. unachotaka kusema ruksa, tukana, kejeli, foka, yote ruksa. UTAVUMILIWA TU. lakini kumbuka mwisho wa matusi OKTOBA 25. Baada ya hapo ukitukana utakamatwa.haidhuru nani kashinda utakabiliana na mkono wa sheria. iwe Magufuli iwe Lowassa au Mghwira, hakuna wa kukutetea. hakuna aliekutuma uvunje sheria za nchi. chunga sana.
Kwann tusikitike wakati huyo mtikila alikuwa anamsema rais Mtarajiwa vibaya. ..
ccm wote walaaniwe
 
Kwanza niwaombe samahani,asubuhi niliposti humu jamiiforum pasipo kuangalia YouTube inayomhusu Mtikila akiwa kajivika u mungu kuhusu afya ya Lowassa sasa..................
 
Back
Top Bottom