OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mchungaji anahoji wanaposema wanakupa kidogo kingine wanakutunzia, wanatunza kama kina nani? Kama mstaafu akitumia vibaya pesa wao inawauma nini? Mbona mishahara hawakuwa wananipa kidogokidogo. Huko ni kushikiana akili na kumfanya mstaafu kama katoto ambako kakipewa zawadi na mgeni basi mama anakashikia ili kasitumia vibaya