na huo ndio ukweli.Kuja kwa kikokotoo ni matokeo ya CCM kukosa hela ya kampeni 2015 ambapo walikopa hela za mifuko ya jamii bila security yoyote ile... Alipoingia JPM Ikabidi atafute namna ya kuwalipa wastaafu cha kwanza akaunganisha mifuko yote ya mafao maana kabla ilikuwa imegawayika akaleta NSSF NA PSSSF pia akabidili kikokotoo kutoka kupewa asilimia 75% ya mafao mpaka kupewa asilimia 25%
Kwa hiyo hili la kikokotoo mtapiga sana kelele haliwezi badilika leo hakuna hela