Baadhi ya mifuko kama NSSF na PPF Walikuwa wanatoa asilimia 25 asilimia 75 zinabaki kwao
Kwa walioko NSSF na PPF kikotoo kwao Kiko vizuri
Shida ilikuwa serikalini Walikuwa hawachangii chochote kwenye mifuko ya pension Walikuwa hawakatwi ili ikifika kulipwa mafao kikotoo kilitumika cha juu sana mifuko ya kulipa wafanyakazi wa serikali ikakaribia kufiisika ikaamuliwa waanze kuchangia na wao miaka ya 1990 na sababu mifuko mwingine ilikuwa hoi hasa ya serikali ikaonekana Kuna umuhimu yote iunganishwe ibakie mifuko miwili tu ya pension ya wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.Baada ya kuunganishwa ikabidi kiwepo kikokotoo kimoja Cha wafanyakazi wote wa umma ndio kikaja hicho Cha sasa Kwa upande mmoja kunusuru mfuko kufa.Watu pendion wengine walikuwa wakikaa Hadi miezi sita bila kulipwa pension ya mwezi na hata ya mkupuo walikuwa waweza fuatilia Hadi mwaka ndipo itoke sasa hivi wanalipwa Kwa wakati bila shida