Mch. Daniel Mgogo: Kikokotoo cha pensheni ni wizi na utapeli

Sio kweli ukiwa na uhai mrefu utalipwa pesa nyingi kuliko ulizochangia

Mfano mtu alifanya kazi na kuchangia Kwa miaka 10 akastaafu na miaka 60 akaishi miaka 100 pension atalipwa miaka 40 Kila mwezi.Sasa hovi wako wastaafu walistaafu miaka ya 1970 Bado wanalipwa pension kila mwezi ingekuwa walichukua Chao chote saa hii wasingekuwa na kipato Tena
Hata fixed deposit unapata pesa nyingi kuliko zile ulizoweka mwanzo kwenye akaunti kadri muda unavyoenda.
 
Wewe mbona unatetea sana huo ujinga? Kwani kabla ya hiyo 33% walikuwa wanatumia nini
Baadhi ya mifuko kama NSSF na PPF Walikuwa wanatoa asilimia 25 asilimia 75 zinabaki kwao

Kwa walioko NSSF na PPF kikotoo kwao Kiko vizuri

Shida ilikuwa serikalini Walikuwa hawachangii chochote kwenye mifuko ya pension Walikuwa hawakatwi ili ikifika kulipwa mafao kikotoo kilitumika cha juu sana mifuko ya kulipa wafanyakazi wa serikali ikakaribia kufiisika ikaamuliwa waanze kuchangia na wao miaka ya 1990 na sababu mifuko mwingine ilikuwa hoi hasa ya serikali ikaonekana Kuna umuhimu yote iunganishwe ibakie mifuko miwili tu ya pension ya wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.Baada ya kuunganishwa ikabidi kiwepo kikokotoo kimoja Cha wafanyakazi wote wa umma ndio kikaja hicho Cha sasa Kwa upande mmoja kunusuru mfuko kufa.Watu pendion wengine walikuwa wakikaa Hadi miezi sita bila kulipwa pension ya mwezi na hata ya mkupuo walikuwa waweza fuatilia Hadi mwaka ndipo itoke sasa hivi wanalipwa Kwa wakati bila shida
 
Watu wanalalamikia kikokotoo, wewe una leta porojo nyiingi zisizo na maana.
 
Kwa ujumla ni Wizi tu! Kinachoudhi unaposikia Serikali ilikopa mifuko ya jamii ili kuendesha Uchaguzi wa Wizi!
Kama sasa hivi uchaguzi unakaribia sidhani kama watasikia!
 
View attachment 2908689

Mchungaji anahoji wanaposema wanakupa kidogo kingine wanakutunzia, wanatunza kama kina nani? Kama mstaafu akitumia vibaya pesa wao inawauma nini? Mbona mishahara hawakuwa wananipa kidogokidogo. Huko ni kushikiana akili na kumfanya mstaafu kama katoto ambako kakipewa zawadi na mgeni basi mama anakashikia ili kasitumia vibaya
Wasikilize John Heche na John Magufuli pia
 
Watu wanalalamikia kikokotoo, wewe una leta porojo nyiingi zisizo na maana.
Hicho kikotoo ujue humo ndani zimo pesa ambazo sio zako za mwajiri aliyekuchangia za kwako pekee usingeweza kupata pesa ya maana wakisema waturudishie zako tu ulizochanga piga hesabu mwenyewe piga hesabu ya hivyo michango vyako miaka yote halafu chukulia unastaafu Leo utaambulia shilingi ngapi ukiondoa michango ya mwajiri

Kaombe statement ya michango mifuko ya pension utaona ulichongia wewe Hadi Leo jumlisha kama wakiamua wakupe hiyo Yako uone kitakachukuta utaondoka na umaskini

Kipande kile Cha mwajiri kujumlishwa kwenye kikokotoo ni kukusaidia wewe utoke vizuri kama mwajiriwa
 
Kumbe wewe huelewi kitu,nakuacha kama ulivyo tu.
 
Hakuna mahali anapotunziwa mtumishi pesa yake bali serikali inawaibia watumishi pesa zao.Kuna mtumishi amestaafu taasisi fulani na alikuwa mlinzi.basic yake ilikuwa 360,000 malipo ya mkupuo kupewa m8 na anachoingiziwa kila mwezi ni laki moja na nusu tu.
Soma kitu inaitwa "time value of money"
 
Sio kweli ukiwa na uhai mrefu utalipwa pesa nyingi kuliko ulizochangia

Mfano mtu alifanya kazi na kuchangia Kwa miaka 10 akastaafu na miaka 60 akaishi miaka 100 pension atalipwa miaka 40 Kila mwezi.Sasa hovi wako wastaafu walistaafu miaka ya 1970 Bado wanalipwa pension kila mwezi ingekuwa walichukua Chao chote saa hii wasingekuwa na kipato Tena
Wewe unaelewa.

Ila wabongo wengi akili zao ni fupi anawaza sasa hivi tu apewe hela ale yote aanze kusumbua watoto, ndugu, marafiki na serikali.
 
Kikokotoo ni donda sugu. Dr. Samia analitibu hili donda sugu soon kabla ya 2025. Mama anaweza lakini pia linapoozwa makali kwa kutoa madaraja mserereko
Wa Tz ni watu wa ajabu sana aisee
 
View attachment 2908689

Mchungaji anahoji wanaposema wanakupa kidogo kingine wanakutunzia, wanatunza kama kina nani? Kama mstaafu akitumia vibaya pesa wao inawauma nini? Mbona mishahara hawakuwa wananipa kidogokidogo. Huko ni kushikiana akili na kumfanya mstaafu kama katoto ambako kakipewa zawadi na mgeni basi mama anakashikia ili kasitumia vibaya
Hahaaa
 
Wewe unaelewa.

Ila wabongo wengi akili zao ni fupi anawaza sasa hivi tu apewe hela ale yote aanze kusumbua watoto, ndugu, marafiki na serikali.
Sahihi kabisa

Huko nyuma Hilo zoezi lilishafanyika mtu achukue mkupuo akitaka matokeo yake unakuta mtu kachoka mwingine alikuwa katibu mkuu au mkurugenzi wa shirika unakuta kala Zote kutwa kusumbua watoto,ndugu na marafiki na serikali anabweka Ona ninavyoadhirika nimetumikia serikali vizuri Ona maisha naishi serikali hii hovyo kabisa kumbe alibomoa Hela yote ya mkupuo au alijitosa miradi Hana uzoefu nayo pesa yote ikakata au kimada na pombe nk pesa ikakata

Toka Hilo la mkupuo liondolewe wastaafu wengi hawasumbui Tena watoto ,ndugu,marafiki au waajiri na kuzurura kuomba omba .Ilifika pabaya sana .Walizochukua mikupuo huko nyuma wengi Hali zao mbaya mno
 
Back
Top Bottom