OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hajui maana ya hifadhi ya jamii. Kachemka. Hifadhi ya Jamii sio Akaunti ya Akiba benki.View attachment 2908689
Mchungaji anahoji wanaposema wanakupa kidogo kingine wanakutunzia, wanatunza kama kina nani? Kama mstaafu akitumia vibaya pesa wao inawauma nini? Mbona mishahara hawakuwa wananipa kidogokidogo. Huko ni kushikiana akili na kumfanya mstaafu kama katoto ambako kakipewa zawadi na mgeni basi mama anakashikia ili kasitumia vibaya
Hifadhi ya jamii ni kama akaunti ya benki ya fixed deposit ya muda mrefu, inatakiwa upewe pesa yako kiasi chochote unachotaka ukistaafu au kuacha kazi kwa vigezo.Hajui maana ya hifadhi ya jamii. Kachemka. Hifadhi ya Jamii sio Akaunti ya Akiba benki.
Hakuna mahali anapotunziwa mtumishi pesa yake bali serikali inawaibia watumishi pesa zao.Kuna mtumishi amestaafu taasisi fulani na alikuwa mlinzi.basic yake ilikuwa 360,000 malipo ya mkupuo kupewa m8 na anachoingiziwa kila mwezi ni laki moja na nusu tu.View attachment 2908689
Mchungaji anahoji wanaposema wanakupa kidogo kingine wanakutunzia, wanatunza kama kina nani? Kama mstaafu akitumia vibaya pesa wao inawauma nini? Mbona mishahara hawakuwa wananipa kidogokidogo. Huko ni kushikiana akili na kumfanya mstaafu kama katoto ambako kakipewa zawadi na mgeni basi mama anakashikia ili kasitumia vibaya
Na wewe hujamwelewa kafananisha.mifuko ya jamii inatunzwa fedha za makato ya mtumishi kama ilivyo kwa akaunti ya benki kwa maana ya savings.Hajui maana ya hifadhi ya jamii. Kachemka. Hifadhi ya Jamii sio Akaunti ya Akiba benki.
CCM MBELE KWA MBELEView attachment 2908689
Mchungaji anahoji wanaposema wanakupa kidogo kingine wanakutunzia, wanatunza kama kina nani? Kama mstaafu akitumia vibaya pesa wao inawauma nini? Mbona mishahara hawakuwa wananipa kidogokidogo. Huko ni kushikiana akili na kumfanya mstaafu kama katoto ambako kakipewa zawadi na mgeni basi mama anakashikia ili kasitumia vibaya
Kungekuwepo na mifuko binafsi ya pensheni na watu wachague ya kujiunga nayo.hela zinaingizwa na kutolewa zikaafanye mambo mengi, siku umestaafu hela hamna unabidi upewe kdg kdg .... ni wizi huo, bora hii sheria ingesema tuweke hela bank na sio huko nssf, ili siku nkistaafu ndo niruhusiwe ku draw fedha zangu, kias ntachotaka ndo ntatoa kdg kdg mpaka nizimalize, hii sheria ni ya hovyo bila kujali tumeicopy mahali au tumeitunga wenyewe, ubaya ni kwamba waliotunga hii sheria wakimaliza miaka yao mitano wanapewa mzigo wao wote, ndio maana hawajali maumivu ya kikokotoo kwa wastaafu
Kichwa chako kinatumika kufugia nywele kama sio kuvalishwa wigiHajui maana ya hifadhi ya jamii. Kachemka. Hifadhi ya Jamii sio Akaunti ya Akiba benki.
Hapo wewe unajua nini cha ziada?Hajui maana ya hifadhi ya jamii. Kachemka. Hifadhi ya Jamii sio Akaunti ya Akiba benki.
Sio kweli ukiwa na uhai mrefu utalipwa pesa nyingi kuliko ulizochangiaHifadhi ya jamii ni kama akaunti ya benki ya fixed deposit ya muda mrefu, inatakiwa upewe pesa yako kiasi chochote unachotaka ukistaafu au kuacha kazi kwa vigezo.
Siku akikimbia na pesa zenu mtakuwa wageni wa naniKungekuwepo na mifuko binafsi ya pensheni na watu wachague ya kujiunga nayo.
Wewe ndo hujui maana ya hifadhi ya jamii. Hii mifumo tukopi nchi zilizoendelea haebu fanya research kidogo uone uko Uropa na USA mambo yakojeHajui maana ya hifadhi ya jamii. Kachemka. Hifadhi ya Jamii sio Akaunti ya Akiba benki.
Ni utapeli tupu wa CCM, mbona wabunge wao wanapewa zote tena nyingi?View attachment 2908689
Mchungaji anahoji wanaposema wanakupa kidogo kingine wanakutunzia, wanatunza kama kina nani? Kama mstaafu akitumia vibaya pesa wao inawauma nini? Mbona mishahara hawakuwa wananipa kidogokidogo. Huko ni kushikiana akili na kumfanya mstaafu kama katoto ambako kakipewa zawadi na mgeni basi mama anakashikia ili kasitumia vibaya
Mbona wabunge, wakuu wa Mikoa na Wilaya wanapewa zote?Sio kweli ukiwa na uhai mrefu utalipwa pesa nyingi kuliko ulizochangia
Mfano mtu alifanya kazi na kuchangia Kwa miaka 10 akastaafu na miaka 60 akaishi miaka 100 pension atalipwa miaka 40 Kila mwezi.Sasa hovi wako wastaafu walistaafu miaka ya 1970 Bado wanalipwa pension kila mwezi ingekuwa walichukua Chao chote saa hii wasingekuwa na kipato Tena
Upo sahihi ni utapeli tupuhela zinaingizwa na kutolewa zikaafanye mambo mengi, siku umestaafu hela hamna unabidi upewe kdg kdg .... ni wizi huo, bora hii sheria ingesema tuweke hela bank na sio huko nssf, ili siku nkistaafu ndo niruhusiwe ku draw fedha zangu, kias ntachotaka ndo ntatoa kdg kdg mpaka nizimalize, hii sheria ni ya hovyo bila kujali tumeicopy mahali au tumeitunga wenyewe, ubaya ni kwamba waliotunga hii sheria wakimaliza miaka yao mitano wanapewa mzigo wao wote, ndio maana hawajali maumivu ya kikokotoo kwa wastaafu
Mbona kuna kampuni za bima au benki ambazo sio za serikali na hawakimbii na pesa zenu?Siku akikimbia na pesa zenu mtakuwa wageni wa nani