Mch. Daniel Mgogo: Kikokotoo cha pensheni ni wizi na utapeli

na huo ndio ukweli.
 
Pension sio Mtaji wa kuanza Maisha wala Savings kwamba Mfuko unakuwekea... Pension ni Safety net kwamba ukizeeka usiwe mzigo kwa Jamii; Yaani ni Insuarance angalau upate vijisenti usije kusumbua wengine...

Cha maana angeongelea kwamba watu wewe sasa hivi sio pensionable hivyo Taifa la kesho litakuwa na wazee masikini ambao hawana hili wala lile na sisi kama Jamii kwa ujumla itakuwa ni aibu sababu tunashindwa / tumeshindwa kutunza wazee wetu
 
Atleast wangefanya 70% wakupe wao wabaki Na 30%
 
Pesa zenu zinapigwa kwa kujenga miradi mfu mfu isiyokuwa na feasibilty.

Wabunge wakimaliza muhula wao wanachukua zote wanasepa. Makapuku muendelee kupigwa tu. Mimi nasubiri ikifika 120M mwaka 2026 napiga chini kazi nachota changu mapema.
 
Pesa zenu zinapigwa kwa kujenga miradi mfu mfu isiyokuwa na feasibilty.

Wabunge wakimaliza muhula wao wanachukua zote wanasepa. Makapuku muendelee kupigwa tu. Mimi nasubiri ikifika 120M mwaka 2026 napiga chini kazi nachota changu mapema.
Ukiacha kazi before kustaafu ndo unapewa pesa zote kwani
 
Kwa kifupi pension plan zipo za aina mbili
1. Defined benefit - scheme (stable)
2. Defined contribution - scheme (a bit risky)

Bila ya kuchoshana kwa maelezo mengi, defined benefit ndio mfumo unaopendelewa na serikali nyingi kwa civil services. Ni stable kwa sababu malipo ya baadae yanatabirika kwa kutumia formula ya ‘Career Average Revalued Earnings’ (CARE) hakuna total drawdown.

Defined contribution hela yako inatumika kwenye investment nyingine kuongeza thamani inakuwa kama umeweka bank kwenye ISA (individual saving account) inapata compound interest na siku ikifikika una option ya kutoa yote au kupokea annuity.

Serikali ya Tanzania imeamia kwenye mfumo number 1, define benefit na hivyo ndio unavyofanya kazi.

Tanzania kila mtu ana opinion bila ya kujifunza kwanza how things work.
 
Pesa zenu zinapigwa kwa kujenga miradi mfu mfu isiyokuwa na feasibilty.

Wabunge wakimaliza muhula wao wanachukua zote wanasepa. Makapuku muendelee kupigwa tu. Mimi nasubiri ikifika 120M mwaka 2026 napiga chini kazi nachota changu mapema.

Hutabaki kijana always waweza lemaa Kwa ajali Nk Pension usichezee Kwa theory za ajabu ajabu

Milioni 120 unaiona nyingi lofa wewe.Kuzaliwa familia ya kimaskini shida sana Kwa hiyo milioni 120 ukipata unaona tayari utatoka kimaisha? Aisee kemea Hilo pepo la umaskini likutoke Kwa jina la Yesu .Una pepo la umaskini wewe
Mbunge sio mwajiriwa pensionable ndio maana akimaliza muda Hela akibomoa ya Hela ya mkupuo kampeni uchaguzi ujao utakuta Hana uwezo wa kufanya kampeni akitokea mwenye pesa kumzidi anatolewa kirahisi tu na nafasi yake kuchukuliwa na mbunge mwingine
 
Mkuu wewe ni umbwa sana kama Maghayo ndio nimetokea kwenye familia masikini sana jombaa. Kama wewe unaona M120 sio hela ujue mamako amekulea kwa kuuza vitumbua kwa mtaji wa 1000 kmalmamaaaaakooooo
 
Wamesema ukistaafu unalipwa kwa miaka 12 tu.ukitoboa miaka 12 huko mbele utajua mwenyewe utaishije.si wizi huo.
 

Mstaafu aliyekuwa mtumishi anayefanya kazi kwenye mazingira mabovu afike umri wa miaka 100!!??

Life span ya Mtanzania kwa sasa ni ngapi!!?
Kati ya Wastaafu 100 wanaostaafu kila mwaka, ni wangapi wanafikisha umri wa miaka 100!??

Takwimu halisi ziko wapi za hao waliostaafu na kuchukua chao chote na leo hii kutokuwa na kitu!!??
 
Kuna wastaafu nimekutana nao Shinyanga, hawajalipwa mafao yao huu ni mwaka wa pili unaenda.

Hao wanaolipwa kwa wakati ni wa wapi!!??
 
Serikali ingekuwa inajali ingeadapt mfumo kama uliopo nchi za ulaya kuwa waliositaafu sasa wanalipwa Hela na wale walio kazini kwaiyo chain inaendelea hivyo kizazi hadi kizazi malalamiko yangekuwa kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…