Mch. Daniel Mgogo: Kikokotoo cha pensheni ni wizi na utapeli

Mimi huwa nina wazo, Ikiwa Serikali ina nia njema na watumishi wake, Badala ya pesa za kustaafu kuwekwa NSSF siju hawa watu watengenezewe bima inayotoa riba kubwa, pesa unayokatwa kila mwezi iwekwe bima ili baadaye ukistaafua kama hujafa unaenda kuchukua mpunga uliozaa riba.

Lakini hivi sasa serikali inawachezea wananchi akili. Yenyewe inaziweka pesa hizo Bank inavuta riba kubwa tu, mfanya kazi anapostaafu anapewa pesa yake ile ile ambayo hata haikuzaa riba yoyote huo ni wizi wa mchana kwe upee.

Basi nikiaza ajira nifunguliwe saving account bank kwa miaka 35 hizo milioni 100 zitakuwa na kilemba juu, kuliko kunitunzia kihuni.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Sure yaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…