Mch. Gwajima, Watanzania hawapingi miradi ya Rais bali wanahoji manufaa yake. Kuropoka kuwa ni wagonjwa unakosea

Mch. Gwajima, Watanzania hawapingi miradi ya Rais bali wanahoji manufaa yake. Kuropoka kuwa ni wagonjwa unakosea

Viongozi wa siasa ni kama viongozi wa dini mengi wanaongea Mana siraha yao ni ulimi.
 
Yani daraja la busisi halina manufaa?

Akili au matope?
 
Mawazo ya kijima kama huyo Gwajima hamna tofauti. Unapinga SGR na Daraja la Busisisi una akili Wewe

Wewe umeahawahi kuse priority kwenye maisha yako? Sasa kwa taarifa yako magufuli hajui kuset priority. Kujenga mataa chato ya nini sehemu ambayo ikiwaka red mpaka kijan hakuna gari inapita? Kwanini mnatetea upumbavu?
 
Hama nchi kama unakwazika, kweni wewe ndo unaona umeongea la maana sana kuliko huyo Gwaji boy? Heshimu mawazo ya watu wewe maana hata ya kwako yanaweza kua ni ya kijinga kwa 98%.

Kweni we umewagoji waTanzania wote ukasikia hawataki treni ya umeme?

Hujui kulikua na watu ktk vituo vya treni huko Goweko, Nyahua, Malongwe ambao walikua wakitazama njia hiyo ya reli kama mkombozi wa uchumi wao kwa kusafirisha Asali, vitanda vya ubao wa Muninga na milango,meza n.k

Hao umesikia hawataki treni ya umeme?
 
Mawazo ya kijima kama huyo Gwajima hamna tofauti. Unapinga SGR na Daraja la Busisisi una akili Wewe
Muwe mnajitahidi basi kusoma andiko lote ili uweze kumuelewa mleta andiko. hajapingan
Mbona umepanic, tulieni tuwambie ukweliii. Mtu anakurupuka kusema propaganda hapa halafu tumwache?? Eti miradi yote haina manufaa kwa watanzania??
ndio maana nikakwambia tulia soma uelewe. zaidi ya hapo sina la kukusaidia
 
Hama nchi kama unakwazika, kweni wewe ndo unaona umeongea la maana sana kuliko huyo Gwaji boy? Heshimu mawazo ya watu wewe maana hata ya kwako yanaweza kua ni ya kijinga kwa 98%.

Kweni we umewagoji waTanzania wote ukasikia hawataki treni ya umeme?

Hujui kulikua na watu ktk vituo vya treni huko Goweko,Nyahua,Malongwe ambao walikua wakitazama njia hiyo ya reli kama mkombozi wa uchumi wao kwa kusafirisha Asali,vitanda vya ubao wa Muninga na milango,meza n.k

Hao umesikia hawataki treni ya umeme?
Kosa sio lako ni kukosa kuelimika.
 
Ulianza vizuri kidogo ila kwenye kupinga daraja la busisi nkajua tu wewe ni bure
 
Huyu Gwajima ni mpuuzi na tapeli. Kama alivyokuwa akiwatapeli wale waumini wajinga wa kanisa lake anadhani na huku wapo wajinga wa namna ile.

Huyu anamfaa sana Magufuli maana Rais wetu huwapenda sana watu wajinga, wasio na uwezo wa kuhoji.
 
Mwanza ndo nyumbani sasa kwa nini nisipafahamu
Wewe mburula huna akili,kama kama unapafahamju hujui kuwa kipaumbele kwa sasa ni huduma za msingi kama maji,elimu na afya ambazo zipo duni sana kanda ya ziwa.
 
Wewe mburula huna akili,kama kama unapafahamju hujui kuwa kipaumbele kwa sasa ni huduma za msingi kama maji,elimu na afya ambazo zipo duni sana kanda ya ziwa.
We mwehu kweli yani!

Unataja huduma za msingi kama afya sasa nakuuliza unajua ni kadhia zipi wanazipata wagonjwa mahututi wanaotaka kuvuka upande wa pili ili waje Bugando unazijua wewe kichwa panzi.

Kaa kimya itakusaidia siku moja
 
Muwe mnajitahidi basi kusoma andiko lote ili uweze kumuelewa mleta andiko. hajapingan

ndio maana nikakwambia tulia soma uelewe. zaidi ya hapo sina la kukusaidia
Ujinga mtupu kila siku kupinga kinachofanyika tumewachoka
 
We mwehu kweli yani!

Unataja huduma za msingi kama afya sasa nakuuliza unajua ni kadhia zipi wanazipata wagonjwa mahututi wanaotaka kuvuka upande wa pili ili waje Bugando unazijua wewe kichwa panzi.

Kaa kimya itakusaidia siku moja
We mburula kwa nini msijenge hospital kubwa ya kisasa Sengerema ya bil 9. Kisha mkajenga kivuko cha kisasa cha bil w 30. Bil 640 zinazobaki mkazitumia kuboresha huduma za afya, maji na elimu. Usiwe unatapika maneno kama imbecile.
 
Back
Top Bottom