Badala ya nyie kutushughulikia korona inawashughulikia sawasawa, mungu mtu wenu hatimaye amenyoosha mikonoTukaneni tuuu. Yetu macho. Ila tutawashugulikia na mapropaganda yenu ya hapo ufipani mpaka wote mtengeneze kiki za kwenda uberigiji.
Kumbe mko mnatuua kwa korona??Badala ya nyie kutushughulikia korona inawashughulikia sawasawa, mungu mtu wenu hatimaye amenyoosha mikono
mnajiua wenyewe kwa kuabudu mtu mmoja badala ya kumuabudu Mungu. Mmemfanya jiwe ndiye mungu wenu kila analosema mnaona ni sahihiKumbe mko mnatuua kwa korona??
Hahaha yule Mama wa Afya nimemsikilizaaaa leo alikuwa naongea ktka radio moja.ya kanisa. Aiseeee Ni hatari kwa afya ya Taifa.Siyo siri kwenye mfumo wa utawala kuwa na akina Gwajima wawili ni shughuli pevu mmoja angetutosha walahi.
NotedKama kuna watu ambao huwa nawaona ni waropokaji hapa Tanzania ni huyu mbunge na mchungaji kondoo aitwaye Gwajima aka askofu Rashid.
Hivi huyu askofu Gwajima anajiona ana akili sana au ndio kujipendekeza kupita kiasi kisa tu shemeji yake kapewa Uwaziri na yeye yupo bungeni akibeba pesa za walipa kodi?
Lini au wapi Watanzania wanapinga miradi mkakati ya rais JPM kama anavyoiita?
Kwa taarifa yako wewe Askofu Gwajima Watanzania sio wajinga. Ndio maana wanahoji manufaa watayopata kutokana na uwepo wa hii miradi mkakati.
Mfano kulikuwa na umuhimu gani wa kujenga reli ya SGR ya umeme wakati tungejenga ya kawaida kwa gharama nafuu ingetufaa na kisha pesa zingine zikaimarisha sekta ya afya na elimu ambayo bado inamapungufu makubwa?
Je, kujenga daraja la bil 700 kuunganisha Sengerema na Mwanza kulikuwa na umuhimu kwa sasa, huku wananchi wanaoishi maeneo hayo hawana shule au maji?
Je, manunuzi ya ndege nane kwa cash yanamnufaisha nini Mtanzania wa kawaida ambae kula yake, vaa yake hata kupata matibabu ni shida?
Wewe askofu Gwajima umevamia siasa unadhani ni sehemu ya kuuza porojo za kisiasa na kujipendekeza. Kwa taarifa yako watanzania hawaumwi Schzophrenia bali wanahoji masuala ya msingi.
Kumbe mko mnatuua kwa korona??Badala ya nyie kutushughulikia korona inawashughulikia sawasawa, mungu mtu wenu hatimaye amenyoosha mikono
Kumbe dunia nzima wanauwa na mtu mmoja?? Ufipani bwana, mnachekeshamnajiua wenyewe kwa kuabudu mtu mmoja badala ya kumuabudu Mungu. Mmemfanya jiwe ndiye mungu wenu kila analosema mnaona ni sahihi
Sasa kuwa nao wawili kwenye serikali moja si balaa hili mwingine kaja na takwimu za tembo kuzaliana sijui alizitoa wapi walahiHahaha yule Mama wa Afya nimemsikilizaaaa leo alikuwa naongea ktka radio moja.ya kanisa. Aiseeee Ni hatari kwa afya ya Taifa.