Mch. Gwajima, Watanzania hawapingi miradi ya Rais bali wanahoji manufaa yake. Kuropoka kuwa ni wagonjwa unakosea

Mch. Gwajima, Watanzania hawapingi miradi ya Rais bali wanahoji manufaa yake. Kuropoka kuwa ni wagonjwa unakosea

Upo sawa mkuu, miradi ni yetu wote watanzania lazima tuhoji.
Tutabaki kuhoji huku JF lakini uthubutu wa kuhoji kwa wazi kabisa tukubali kuwa hatuna. Tunasindikiza anguko letu wenyewe tena kwa shamra shamra 😐
 
Tutabaki kuhoji huku JF lakini uthubutu wa kuhoji kwa wazi kabisa tukubali kuwa hatuna...tunasindikiza anguko letu wenyewe tena kwa shamra shamra 😐
Kupitia humuhumu JF ujumbe unawafikia.
 
Kwanza kosa kubwa la kwanza ni kuita miradi ya mtu fulani, Sababu ni Kodi zetu na mikopo ambayo vizazi na vizazi vitalipa hatupaswi kuwa na miradi ya mtu, bali miradi ya watanzania ambayo inafanyika baada ya wadau wote na wataalamu kuona tija yake itakuaje.
changamoto ni kuwa wengi hatujadili mambo muhimu ila tuyavamia tu..ndomaana wengi wetu tunaropoka tu na kujitahidi kupata kichwa kwa raisi akuone na ww unamsapoti basi ili mradi tu
 
Mfano kulikuwa na umuhimu gani wa kujenga reli ya SGR ya umeme wakati tungejenga ya kawaida kwa gharama nafuu ingetufaa na kisha pesa zingine zikaimarisha sekta ya afya na elimu ambayo bado inamapungufu makubwa?Je, kujenga daraja la bil 700 kuunganisha Sengerema na Mwanza kulikuwa na umuhimu kwa sasa, huku wananchi wanaoishi maeneo hayo hawana shule au maji?Je, manunuzi ya ndege nane kwa cash yanamnufaisha nini Mtanzania wa kawaida ambae kula yake, vaa yake hata kupata matibabu ni shida?
Atleast ndege inaweza kuingiza some sort of faida baada ya muda kupita ingawa haikuwa sawa kuzamisha hela yote kwa mpigo, tena cash. Ila hizo mega projects nyingine ni hasara tupu. Bilioni 700 kwenye daraja, tena huko kijijini?
 
Ishu ni kufanya mambo ya msingi kwa taifa na kwa hatua..hata ww nyumbani kwako huwezi kufanya kila kitu nkwa wakati mmoja ndomaana kuna muda utasema jamani hiki kifanyike ila hiki kisubili..lakini tukisema kwa kuwa kodi zipo basi twende tu mmhh tunakosea sana.
 
itafika sehemu kwa kuwa tunaamini kodi zipo na kodi mwamuzi ni mmoja tu basi kuna wakati tutafanya mambo ya ajabu sana..tusije tukaanza kununua noah na kugawana kwa kuwa fedha zipo hapana..angalia kibaha kila siku stendi zinajengwa mpya zingine zinavunjwa..ikowapi styendi ya loliondo pale kibaha..sasahivi stebndi iko mbezi luis..kesho utasikia stendi inaamishwa ..je fedha tulizotumia pale zinarudije
 
Daraja la Busisi liache tu lijengwe.sio la kutia shaka kabisa.
 
Kama kuna watu ambao huwa nawaona ni waropokaji hapa Tanzania ni huyu mbunge na mchungaji kondoo aitwaye Gwajima aka askofu Rashid.

Hivi huyu askofu Gwajima anajiona ana akili sana au ndio kujipendekeza kupita kiasi kisa tu shemeji yake kapewa Uwaziri na yeye yupo bungeni akibeba pesa za walipa kodi?

Lini au wapi Watanzania wanapinga miradi mkakati ya rais JPM kama anavyoiita?

Kwa taarifa yako wewe Askofu Gwajima Watanzania sio wajinga. Ndio maana wanahoji manufaa watayopata kutokana na uwepo wa hii miradi mkakati.

Mfano kulikuwa na umuhimu gani wa kujenga reli ya SGR ya umeme wakati tungejenga ya kawaida kwa gharama nafuu ingetufaa na kisha pesa zingine zikaimarisha sekta ya afya na elimu ambayo bado inamapungufu makubwa?

Je, kujenga daraja la bil 700 kuunganisha Sengerema na Mwanza kulikuwa na umuhimu kwa sasa, huku wananchi wanaoishi maeneo hayo hawana shule au maji?

Je, manunuzi ya ndege nane kwa cash yanamnufaisha nini Mtanzania wa kawaida ambae kula yake, vaa yake hata kupata matibabu ni shida?

Wewe askofu Gwajima umevamia siasa unadhani ni sehemu ya kuuza porojo za kisiasa na kujipendekeza. Kwa taarifa yako watanzania hawaumwi Schzophrenia bali wanahoji masuala ya msingi.
We jamaa ni utopolo sana aisee tujenge reli ya kawaida wakati za kawaida tunayo na kuhusu daraja inaonekana we hujui umuhimu wake kwa sababu we hukai kanda ile Wala hujafika
 
Kama vip wamtangaze ni mtakatifu wao. Yaani kutukuza mtu siku hizi ndio siasa pekee iliyobaki.
 
Uchizi ni pale unapomchagua mtu halafu badae kidgo tu anakuona mgonjwa
Maisha haya
 
We jamaa ni utopolo sana aisee tujenge reli ya kawaida wakati za kawaida tunayo na kuhusu daraja inaonekana we hujui umuhimu wake kwa sababu we hukai kanda ile Wala hujafika
Pumbavu wewe kama hujui kusoma na kuelewa kaaa kimya. Mimi namaanisha Sgr isiyotumia umeme. Unaongea kama umekula mavi
 
Kwanza kosa kubwa la kwanza ni kuita miradi ya mtu fulani, Sababu ni Kodi zetu na mikopo ambayo vizazi na vizazi vitalipa hatupaswi kuwa na miradi ya mtu, bali miradi ya watanzania ambayo inafanyika baada ya wadau wote na wataalamu kuona tija yake itakuaje.

Kikanuni uko sawa kabisa. Miradi ni ya taifa. Kiuhalisia sio hivyo.

Tanzania hasa awamu hii, taasisi zote zinazohusika na mipango na vipaumbele vya maendeleo, mapato na matumizi ya rasilimali za taifa hazipewi nafasi ya muhimu katika maamuzi kuhusu miradi wala fedha zake. Yote yanaamuliwa na Rais. Yeye ndiye anayeamua miradi ya kutekelezwa, njia za utekelezaji (tender, force account, JKT, nk.). Na Yeye ndiye anayetoa fedha.

Katika uhalisia huo, ndio maana serikali kila mara inatuarifu kuhusu utekelezaji wa maamuzi ya Rais, miradi ya Rais na mabilioni aliyotoa Rais kukamilisha miradi.

Bila shaka itabidi tuendelee kuzoea uhalisia huo ili tuendelee kudumisha amani na utulivu wetu adhimu.
 
Kama kuna watu ambao huwa nawaona ni waropokaji hapa Tanzania ni huyu mbunge na mchungaji kondoo aitwaye Gwajima aka askofu Rashid.

Hivi huyu askofu Gwajima anajiona ana akili sana au ndio kujipendekeza kupita kiasi kisa tu shemeji yake kapewa Uwaziri na yeye yupo bungeni akibeba pesa za walipa kodi?

Lini au wapi Watanzania wanapinga miradi mkakati ya rais JPM kama anavyoiita?

Kwa taarifa yako wewe Askofu Gwajima Watanzania sio wajinga. Ndio maana wanahoji manufaa watayopata kutokana na uwepo wa hii miradi mkakati.

Mfano kulikuwa na umuhimu gani wa kujenga reli ya SGR ya umeme wakati tungejenga ya kawaida kwa gharama nafuu ingetufaa na kisha pesa zingine zikaimarisha sekta ya afya na elimu ambayo bado inamapungufu makubwa?

Je, kujenga daraja la bil 700 kuunganisha Sengerema na Mwanza kulikuwa na umuhimu kwa sasa, huku wananchi wanaoishi maeneo hayo hawana shule au maji?

Je, manunuzi ya ndege nane kwa cash yanamnufaisha nini Mtanzania wa kawaida ambae kula yake, vaa yake hata kupata matibabu ni shida?

Wewe askofu Gwajima umevamia siasa unadhani ni sehemu ya kuuza porojo za kisiasa na kujipendekeza. Kwa taarifa yako watanzania hawaumwi Schzophrenia bali wanahoji masuala ya msingi.
SGR inajengwa, Daraj la Busisi linajengwa na hizo pesa za sekta ya afya na elimu zinatolewa na zitazidi kutolewa,kwani shida iko wapi?
 
Gwajima ni Pimbi wa kutupa ameadvance from religious interpreneur to political interpreneur .
 
Back
Top Bottom