Mch. Gwajima, Watanzania hawapingi miradi ya Rais bali wanahoji manufaa yake. Kuropoka kuwa ni wagonjwa unakosea

Siku mzee Kipara akiondoka watu wa sampuli za Gwajima ndio watakuwa wanaongoza kumnanga na kumdhalilisha.. Chukua mfano wa Jk ni kinyago alichokichonga mwenyewe Daud ALBERT Bashite a.ka. Makonda
 
Kama kuna watu ambao huwa nawaona ni waropokaji hapa Tanzania ni huyu mbunge na mchungaji kondoo aitwaye Gwajima aka askofu Rashid.

Hivi huyu askofu Gwajima anajiona ana akili sana au ndio kujipendekeza kupita kiasi kisa tu shemeji yake kapewa Uwaziri na yeye yupo bungeni akibeba pesa za walipa kodi?

Lini au wapi Watanzania wanapinga miradi mkakati ya rais JPM kama anavyoiita?

Kwa taarifa yako wewe Askofu Gwajima Watanzania sio wajinga. Ndio maana wanahoji manufaa watayopata kutokana na uwepo wa hii miradi mkakati.

Mfano kulikuwa na umuhimu gani wa kujenga reli ya SGR ya umeme wakati tungejenga ya kawaida kwa gharama nafuu ingetufaa na kisha pesa zingine zikaimarisha sekta ya afya na elimu ambayo bado inamapungufu makubwa?

Je, kujenga daraja la bil 700 kuunganisha Sengerema na Mwanza kulikuwa na umuhimu kwa sasa, huku wananchi wanaoishi maeneo hayo hawana shule au maji?

Je, manunuzi ya ndege nane kwa cash yanamnufaisha nini Mtanzania wa kawaida ambae kula yake, vaa yake hata kupata matibabu ni shida?

Wewe askofu Gwajima umevamia siasa unadhani ni sehemu ya kuuza porojo za kisiasa na kujipendekeza. Kwa taarifa yako watanzania hawaumwi Schzophrenia bali wanahoji masuala ya msingi.
CCM na serikali yake wanajifanya kufahamu Watanzania wanataka nini hasa.Wakiambiwa wanachotaka Wananchi wanadai sisi siyo wazalendo,wakifanya tusiyoyahitaji wanadai sisi siyo wazalendo na tunapinga maendeleo.Sidhani kama ndani ya CCM kuna anayefahamu tafsiri na maana ya maendeleo!!!
Wanaamini katika kujenga visivyohitajika kwa sasa na kukataa kujenga vinavyohitajika.Unajenga shule/madarasa hayana madawati,waalimu na vitabu,unajenga hospitali humo hakuna dawa/vifaa TIBA na wataalam.Mambo vululu vululu!!!
 
Kwa hiyo watanzania wakipewa mradi wa maji hapo ufipani nyinyi mradi kama huo hamuoni faida yakee?
Siyo kupewa ni Haki yetu kupata Maji,umeme na miundo mbinu mingine,kinachohojiwa ni miradi ya ajabu ajabu kama daraja la Busisi Kigongo,Chato International Airport,daraja jipya Salender au Mwl.Nyerere Hydroelectric Dam ilhali tuna Natural Gas ya Msimbati,Songo songo na Rungwe pamoja na Coal ya kutosha Kiwira.Hatuna vipaumbele vya kitaifa,tunaendesha nchi kwa hisia na matakwa ya mtu moja.
Mwisho acha kulinganisha Tanzania na CHADEMA.Tukihoji yanayohusu nchi yetu mnajibu kwa kulinganisha na yanayofafanyika CDM H.Q?
 
Kwanza kosa kubwa la kwanza ni kuita miradi ya mtu fulani, Sababu ni Kodi zetu na mikopo ambayo vizazi na vizazi vitalipa hatupaswi kuwa na miradi ya mtu, bali miradi ya watanzania ambayo inafanyika baada ya wadau wote na wataalamu kuona tija yake itakuaje.
Hakuna tija yoyote iliyopo kwenye ndege na SGR zaidi ya mihemuko ya mshamba mmoja hivi
 
Askofu ama mpiga dili huyo; anakula hela za wajinga!! Hamna neno la Mungu humo!!
 
Kuna manufaa gan kua na ndege nane za cash huku wakulima wanakua kama mazombi? Kuendesha ni rahisi hivyo? Alafu hakuna mwanaccm hata mmoja anaye hoji hivi wote mnakaili sawa hapo lumumba ifikie kipindi mue na akili ata kidogo kue na uhuru wa fikra kwenye hicho chama chenu cha ******* haiwezekani wote akili zenu zinafanane na mwenyekiti rubish
 
Mods futa hii post na piga ban hii kenge.
 
Huyu magufuli atatufikisha mahali tutakuwa tunaogopa hata vivuli vyetu sasa yaani anataka kutukuzwa kama mtukufu wa Misri yule pharao
 
Siyo kupewa ni Haki yetu kupata Maji,umeme na miundo mbinu mingine,kinachohojiwa ni miradi ya ajabu ajabu kama daraja la Busisi Kigongo,Chato International Airport,daraja jipya Salender au Mwl.Nyerere Hydroelectric Dam ilhali tuna Natural Gas ya Msimbati,Songo songo na Rungwe pamoja na Coal ya kutosha Kiwira.Hatuna vipaumbele vya kitaifa,tunaendesha nchi kwa hisia na matakwa ya mtu moja.
Mwisho acha kulinganisha Tanzania na CHADEMA.Tukihoji yanayohusu nchi yetu mnajibu kwa kulinganisha na yanayofafanyika CDM H.Q?
Kwahiyo umesubiri siku mamia ya watanzania wanateketea ziwa Victoria, ndipo ufipa nzima mkimbie mbio hapa kushangiria na kuimba kunauzembe mkubwaa?? Athali zitokanazo na na vivuko tuuulize sisi watumiaji.
 
Na uongo wake uishie kanisani kwake tembo 15,000 kuwa 60,000 kwa miaka 4 Uongo wa kutisha dunia inatuona tulivyo mazombi hee vipi kuhusu kufungua kuwapa Kawe boti za uvuvi na kupeleka watu Usariver korona au.
Huyu mtumishi fani ya kupepeta mdomo ndo area yake,enzi zake mtoto wa kike achomoki kwa sound.
 
Kama kuna watu ambao huwa nawaona ni waropokaji hapa Tanzania ni huyu mbunge na mchungaji kondoo aitwaye Gwajima aka askofu Rashid.

Hivi huyu askofu Gwajima anajiona ana akili sana au ndio kujipendekeza kupita kiasi kisa tu shemeji yake kapewa Uwaziri na yeye yupo bungeni akibeba pesa za walipa kodi?

Lini au wapi Watanzania wanapinga miradi mkakati ya rais JPM kama anavyoiita?

Kwa taarifa yako wewe Askofu Gwajima Watanzania sio wajinga. Ndio maana wanahoji manufaa watayopata kutokana na uwepo wa hii miradi mkakati.

Mfano kulikuwa na umuhimu gani wa kujenga reli ya SGR ya umeme wakati tungejenga ya kawaida kwa gharama nafuu ingetufaa na kisha pesa zingine zikaimarisha sekta ya afya na elimu ambayo bado inamapungufu makubwa?

Je, kujenga daraja la bil 700 kuunganisha Sengerema na Mwanza kulikuwa na umuhimu kwa sasa, huku wananchi wanaoishi maeneo hayo hawana shule au maji?

Je, manunuzi ya ndege nane kwa cash yanamnufaisha nini Mtanzania wa kawaida ambae kula yake, vaa yake hata kupata matibabu ni shida?

Wewe askofu Gwajima umevamia siasa unadhani ni sehemu ya kuuza porojo za kisiasa na kujipendekeza. Kwa taarifa yako watanzania hawaumwi Schzophrenia bali wanahoji masuala ya msingi.
Huyu ni mtu wa serikali , hata yule mkenya feki aliyemteka Ulimboka alikamatwa Kwenye lile pagala linaloitwa kanisa lake .

Tutamlipua muda si mrefu
 
Kama uvivu ni tusi basi linawafaa sana vijana wa mataga na uvccm kwa kuwa ni wavivu wa kusoma
Tukaneni tuuu. Yetu macho. Ila tutawashugulikia na mapropaganda yenu ya hapo ufipani mpaka wote mtengeneze kiki za kwenda uberigiji.
 
Back
Top Bottom