Kawatafuna sana hata kipindi cha kampeni kawapiga mno, Gwajima ni Bonge la mzinzi hakuna mfanoJosephat Rashid Gwajima mla kondoo na nguruwe wa Bwana.
MIT. 6:32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa ...Kawatafuna sana hata kipindi cha kampeni kawapiga mno, Gwajima ni Bonge la mzinzi hakuna mfano
Alimaanisha kupiga kampeni ila ulimi ukateleza.
Kama kawaida Bavicha mtakomaa na mada za kijinga kama hivi weeee! Hadi ikifima tarehe 01/10/2025 ndio mnaanza kuulizia mambo ya tume huru.
Siyo nyota Ubabe wa MZEE lakini waelewe mbeleko huwa zina chanikaWabunge wengi wa tz. Wanatembelea nyota ya mzee baba. Waambie wasimame wao kawa wao uone.
SahihiSiyo nyota Ubabe wa MZEE lakini waelewe mbeleko huwa zina chanika
"Nasema uongo ndugu zangu?"Nileteeni Gwajima, nileteeni Gwajimaaaa, nileeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaa
Haswaa...ISAYA 56:
9Enyi wanyama wote wakali,
nanyi wanyama wote wa mwituni,
njoni muwatafune watu wangu.
10Maana viongozi wao wote ni vipofu;
wote hawana akili yoyote.
Wote ni kama mbwa bubu wasiobweka,
hulala tu na kuota ndoto,
hupenda sana kusinzia!
11Hao ni kama mbwa wenye uchu sana,
wala hawawezi kamwe kutoshelezwa.
Wachungaji hao hawana akili yoyote;
kila mmoja hutafuta faida yake mwenyewe.
12Huambiana, “Njoni, twende kutafuta divai;
njoni tunywe tushibe pombe!
Kesho itakuwa kama leo,
tena itakuwa sikukuu kubwa zaidi.”
Gwajima somahiyooooo umeipata?ISAYA 56:
9Enyi wanyama wote wakali,
nanyi wanyama wote wa mwituni,
njoni muwatafune watu wangu.
10Maana viongozi wao wote ni vipofu;
wote hawana akili yoyote.
Wote ni kama mbwa bubu wasiobweka,
hulala tu na kuota ndoto,
hupenda sana kusinzia!
Hana PhD yoyote. Hata masters tu hana. Ni mjanja wa town hapaNi PhD holder anaitwa Dr Rashid
O level alisoma miaka miwili ilhali enzi hizo QT haikuwepo.Hana phd yoyote. Hata masters tu hana. Ni mjanja wa town hapa
Umesahau herufi w kati d na a. Ukiliongeza sentensi yako inakamilikaIla Lissu atakuwa alishinda kihalali!
Maskini siku hizi unatia huruma. Ila nilikuonya ila una kichwa cha kutoelewa mapema mpaka yakukute. Unakumbuka sredi zako uchwara ‘Lissu aifuta CCM......’ unalo!Ukijaribu kufuatilia utagundua hata utekaji wa baadhi ya watu akiwemo Dr Ulimboka jina lake limeonekana , fungua ubongo utaelewa
"Nasema uongo ndugu zangu?"
Nileteeni gwajimaLugha nyepesi imetumika na Askofu, Jina la Magufuli lilitosha kbs....hii ni kutokana na utendaji thabiti wenye matokeo dhahiri yanayoonekana ambayo TL alikaza shingo kuyaita maendeleo ya VITU...!
Sasa waliogombea kwa kutaja TL imekula kwao , Lkn waliogombea kwa kumtaja mchapakazi Magu imelipa hivyo kampeni zilikuwa nyepesi sana.
Hivi kipi kigumu hapo kuelewa!!