Mch. Josephat Gwajima: Maeneo mengine hatukuhitaji kupiga kura ili kushinda bali kutaja jina la John P. Magufuli tu, kura zilipatikana

Sina chama....ila sipendi uongo na unafiki.

Hapo Gwajima alimaanisha

"" Hatukuhitaji kupiga kampeni....""
.....Yes, kwa kuwa amri na mamlaka yako pekee ya "uRais" yalitosha kutumika ili kila mbunge na wewe Rais kutangazwa mshindi kwa njia zozote zile...!!

Halafu kumbuka na hii;

".....nimekuteua kuwa mkurugenzi wa h/m/mji/manispaa/jiji, nimekupa Gari, nyumba nzuri na mshahara mnono HALAFU UMTANGAZE MPINZANI AMESHINDA UCHAGUZI WOWOTE uone kitakachokutokea...!!", Rais John Pombe Magufuli

Endelea kutokuwa na chama tu ndugu...

Lakini jifunze pia kutumia akili na ufahamu wako vyema ili kujua uongo na ukweli ili uwe na nafasi ya " kuchukia" uongo kwa haki...!
 

You spinning doctors. Why are you always continue to become a curse to this nation? Askofu Gwajima kasema vizuri "wamebebwa na perfomance ya JPM na rudia wamebebwa na perfomance ya JPM." Hili nalo ni gumu kueleweka unless unamatatizo flani kichwani. Wabunge wa CCM chama tawala wamebebwa na Perfomance ya Mh Rais JPM na serikali yake. Wabunge wa CCM wamebebwa na Perfomance ya JPM kwa maana hiyo na serikali aliyoiongoza.

Kinyume cha hivyo kwa maneno mengine huko nyuma kabla ya serikali ya awamu ya 5 baadhi ya wabunge wa CCM waligharimiwa na utendaji wa hovyo wa serikali ya CCM. Sikumtaja mtu hapa tafadhalini.
 
Mtu pekee anayeweza kufanya kaui hii ya Mh Gwajima kuwa hoja mpaka kuleta uzi hapa jf ni aidha hajawahi kuteleza ulimi katka maongezi yake au hajui kama kunakukosea vinginevyo atakuwa bonge la BWEGE
 
Hahahahah
 
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetani tu
 
Alimaanisha kupiga kampeni ila ulimi ukateleza.

Kama kawaida Bavicha mtakomaa na mada za kijinga kama hivi weeee! Hadi ikifika tarehe 01/10/2025 ndio mnaanza kuulizia mambo ya Tume huru.
Wewe Mbona ndiyo mjinga zaidi huko CCM?
 
Huko wanakuelekea chama Chato kitapotea kabisa.

Wabunge wao muda wote wapo kwenye siasa za Twitter na Instagram wakasahau kabisa kuna deni la kushughulikia kero za mwananchi wa kawaida.

Wajipange kwelikweli awamu ya tano sio saizi yao.
Kwani maendeleo ni Hisani za CCM? Maendeleo ni pesa binafsi tokea mfukoni mwa CCM? Kama maendeleo ni pesa za walipa kodi wote basi Tambua kila mpinzani kashiriki kuleta maendeleo
 

It's you who you are really a curse to this beautiful nation, not me...!

Maigizo ya uchaguzi kwa kuteka nyara na kuiba kura za wana wa nchi hii waliochagua viongozi wawatakao wao unatuambia "walishinda kwa kubebwa na performance ya Jiwe?"

Which performance are you talking about?...

Tabia za Rais dictator? Rais mbinafsi na fisadi ndiyo avutie watu? Rais ambaye kinafiki kabisa kila siku, kila afanyalo huwa ana _ dictate characters zake za kidikteta ndiye awe catalyst kuwashindia ubunge kina watu kama Gwajima?... Is it a joke or what?

Yaani huyu ndiye awasaidie wabunge wake wengine kama yule wa Njombe fisadi wa ACACIA kushinda wakati yeye mwenyewe akiwa amenyimwa kibali cha Mungu na cha watu pia?...

Acha utani bwana!.... Acha kutuona wajinga bwana kina sisi...!!

Hakika watu kama ninyi kwa kuamua kuutia giza uelewa na ufahamu wenu hata kutoona wala kushindwa kutambua uhalisia wa mambo iwe kwa makusudi ama kwa ujinga wenu, ndiyo mlio laana halisi katika taifa hili...!!

Dude, watu wote timamu wanajua. Mnaojiita "mmeshinda uchaguzi huu" mnajua; Tanzania nzima inajua na dunia yote inajua kuwa, hamkushinda bali mmejitawaza washindi kwa nguvu ya uporaji wa haki za wananchi kwa kuwa mna NGUVU za KIMAMLAKA..!

Huu haukuwa uchaguzi. Haya yalikuwa maigizo ya uchaguzi. Period...
 
Tanzania hakuna uchaguzi umefanyika zaidi ya CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetani tu
 
Kwani maendeleo ni Hisani za CCM? Maendeleo ni pesa binafsi tokea mfukoni mwa CCM? Kama maendeleo ni pesa za walipa kodi wote basi Tambua kila mpinzani kashiriki kuleta maendeleo
Ndio wanakwenda kupotea hivyo. Hizi mbwembwe zako hazina msaada wowote.
 
Unadhan atakuelewa huyu zumbukuku???
 
Kwel ww n nguchiro na zumbukuku pia
 
Ule haukuwa mkono wangu ulikuwa ni mkono wa Baunsa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…