Katika kumtumikia Mungu Kuna dhambi moja inawashusha nakuwapoteza watu wa Mungu wengi, dhambi hii imeandikwa hata ktk maandiko matakatifu.
Neno la Mungu linasema kijapo kiburi na majivuno basi mwisho wake ni kuanguka. Kiburi na majivuno ndio kitanzi cha watu mashuhuri wengi. Unaweza kuniuliza Manisha Nini?
Kabla ya Yulusifa kushushwa duniani Kiburi na majivuno ndio yalikuwa chanzo cha anguko lake. Bwana tupe unyenyekevu.
Yulusifa alikuwa na nguvu na Mamlaka kubwa kule Mbinguni akafika mahali akaona nguvu zake ni sawa na nguvu za Mungu hapo ndipo ukawa mwisho wake na hata leo Dunia imebadilika kwa tukio la yeye kushushwa chini. Ikumbukwe shetani alikuwa na malaika wengine waasi maelfu kwa maelfu nao walishuswa chini.
Je Mchungaji huyu alijiamini Nini hasa kisema wakristo sio waaminifu kama Waislam. Je wajuwa maana ya haya maneno na kile kitamkuta mtu huyu wa Mungu?
Maneno alio yasema ni maneno yasiofaa tena ni maneno yanaweza leta maangamizi ya halaiki pasipo kujuwa ila Asante Mungu Taifa la Tz ni watu wa amani. Mtakumbuka kikaragosi cha mtume kule France kilivyo leta mauwaji ya kutisha sana leo mtu mwenye hadhi ya Uchungaji tena Dr anasimama kwenye mimbari nakusema wakristo ya Kristo sio mwaminifu kama Mtume.
Nibora angenyamaza maana hili haliwezi pita pasipo jibiwa na Mungu mwenyewe. Mch Kimaro mpaka sasa naimani kila mtu anajiuliza akipata wapi moyo wakusimama kwenye madhabahu ya Kristo na kuudhalilisha umma wa wa Kristo ikumbukwe hatuitwi wakrsto tu ila tunaufia ukristo wetu. Sasa mtu mwenye hiyo nadhiri anasema sio mwaminifu kama mwenzake wa upande wa pili. Huyu hafai kusimama ktk madhabahu na ndio maana Sina uhakika kama atarudi.
Swali lakujiuliza je nikweli wakristo sio waaminifu? Na ndugu zetu ndio waaminifu? Mungu ndie atajibu hili mchana tena kweupe.
Mm sio Mungu ila napata kigugumizi ikiwa dhihaka hii kwa wakrsto na kanisa kama itapita salama. Jambo zito linaenda tokea je kwanini?
Jibu nimoja tu Mungu hadhihakiwi chochote apandacho mtu ndicho anachovuna. Aling'aa kama kerubi ila sasa atashushwa ili watu wote wa Dunia na Taifa wajuwe Mungu yupo. Sii vinginevyo.