econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Ukiona hivyo, Dk Shoo na Malasusa Kuna Mali wanataka kuichukua hapo, kama sio kiwanja, basi ni fedha benki, muda utaongea tu
Dr Shoo anaingiaje. Hilo suala ni la Dayosisi. Kausome mfumo wa KKKT kwanza kabla ya kuropoka.