mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Usilete mifano ya watu waigizaji maarufu wa mitandaoni angalia society iliyokuzunguka iko vipi utapata majibu.Ikiwemo ndoa ya haji manara. Ungetuletea vivid cases sio kuongea juu juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usilete mifano ya watu waigizaji maarufu wa mitandaoni angalia society iliyokuzunguka iko vipi utapata majibu.Ikiwemo ndoa ya haji manara. Ungetuletea vivid cases sio kuongea juu juu.
Mbona inajulikana wazi kabisa kuwa raia wa Kenya ni wachapakazi kuliko raia wa Tanzania ambao ni wavivu.Hajawataja ,yeye kawalinganisha. Yani Rais aanze kudai raia wa Tanzania ni wavivu kuliko raia wa Kenya. Unadhani image ya raia ya watanzania itakuwaje?. Kwa mikwaruzo ya kidini iliyopo Tanzania, kutoa kauli Kama ile ni kuudhihaki Ukristo, na kuonesha Ukristo hauna maana. Ile kauli ili mvua nguo.
Kwa hiyo wewe ulitaka mchungaji kabla ya kufanya mahubiri afanye sensa kwanza kisha ndio aje kuwahubiria waumini wake si ndio?Yaani unataka kusema mchungaji hatakiwi kusema ukweli ambao utawauma waumini wake hadi aje na vitabu vya research ila akisema mambo ya kuwasifia waumini hakuna haja ya vitabu vya research?Mambo ya dini hayaendi hivyo ndugu zangu acheni kuchanganya dini,usomi, siasa,na ujuaji wa mambo ya kidunia hivyo vitu kila kimoja kina mahala kwakeKimaro ameongea kama illiterate person.
Huwezi ku ganeralize kauli bila kufanya utafiti.
"Waislamu ni waaminifu kupita Wakristo"
Ni kauli ya kipumbavu kabisa.
Inamaana hata yeye sio mwaminifu.
Na kanijumuisha hata na mimi ambaye hanijui tabia yangu.
Kimaro lazima atuombe radhi Wakristo kwa kauli yake hii.
Na ajiuzulu Uchungaji maana kashindwa kazi ya utumishi.
Asilimu ajifunze kuwa Imamu wa Kiislamu.
Tatizo lenu mmezoea kudanganywa jibu hoja kwa hoja sio kwa mtizamo nimeuliza mbona Yesu alifanya hivyo pia jibu hoja.Acheni kumuingizia Yesu Kristo kwenye makosa yenu. Mchungaji mzima unakiri kwamba vijana wa kikiristo sio waaminifu na kwenye project zako umeajiri vijana wa kiislamu. Ndio maana mimi huwa nasema yule kimaro sio mchungaji ni motivational speaker.
Wewe una amini maneno ya Kimaro ?Kwa hiyo wewe ulitaka mchungaji kabla ya kufanya mahubiri afanye sensa kwanza kisha ndio aje kuwahubiria waumini wake si ndio?Yaani unataka kusema mchungaji hatakiwi kusema ukweli ambao utawauma waumini wake hadi aje na vitabu vya research ila akisema mambo ya kuwasifia waumini hakuna haja ya vitabu vya research?Mambo ya dini hayaendi hivyo ndugu zangu acheni kuchanganya dini,usomi, siasa,na ujuaji wa mambo ya kidunia hivyo vitu kila kimoja kina mahala kwake
Sio naamini ndivyo ilivyo,mbona mambo yako wazi kabisa mnajifanya kufumba macho kama vile hamuoni.Wewe una amini maneno ya Kimaro ?
Tuanzie hapo kwanza
Alichokisema Dr Kimaro kina ukweli, kuitwa Mkristo sio wote wa Kristo, wapo wengi wanaojiita Wakristo ila hawana sifa za Kikristo.Katika kumtumikia Mungu Kuna dhambi moja inawashusha nakuwapoteza watu wa Mungu wengi, dhambi hii imeandikwa hata ktk maandiko matakatifu.
Neno la Mungu linasema kijapo kiburi na majivuno basi mwisho wake ni kuanguka. Kiburi na majivuno ndio kitanzi cha watu mashuhuri wengi. Unaweza kuniuliza Manisha Nini?
Kabla ya Yulusifa kushushwa duniani Kiburi na majivuno ndio yalikuwa chanzo cha anguko lake. Bwana tupe unyenyekevu.
Yulusifa alikuwa na nguvu na Mamlaka kubwa kule Mbinguni akafika mahali akaona nguvu zake ni sawa na nguvu za Mungu hapo ndipo ukawa mwisho wake na hata leo Dunia imebadilika kwa tukio la yeye kushushwa chini. Ikumbukwe shetani alikuwa na malaika wengine waasi maelfu kwa maelfu nao walishuswa chini.
Je Mchungaji huyu alijiamini Nini hasa kisema wakristo sio waaminifu kama Waislam. Je wajuwa maana ya haya maneno na kile kitamkuta mtu huyu wa Mungu?
Maneno alio yasema ni maneno yasiofaa tena ni maneno yanaweza leta maangamizi ya halaiki pasipo kujuwa ila Asante Mungu Taifa la Tz ni watu wa amani. Mtakumbuka kikaragosi cha mtume kule France kilivyo leta mauwaji ya kutisha sana leo mtu mwenye hadhi ya Uchungaji tena Dr anasimama kwenye mimbari nakusema wakristo ya Kristo sio mwaminifu kama Mtume.
Nibora angenyamaza maana hili haliwezi pita pasipo jibiwa na Mungu mwenyewe. Mch Kimaro mpaka sasa naimani kila mtu anajiuliza akipata wapi moyo wakusimama kwenye madhabahu ya Kristo na kuudhalilisha umma wa wa Kristo ikumbukwe hatuitwi wakrsto tu ila tunaufia ukristo wetu. Sasa mtu mwenye hiyo nadhiri anasema sio mwaminifu kama mwenzake wa upande wa pili. Huyu hafai kusimama ktk madhabahu na ndio maana Sina uhakika kama atarudi.
Swali lakujiuliza je nikweli wakristo sio waaminifu? Na ndugu zetu ndio waaminifu? Mungu ndie atajibu hili mchana tena kweupe.
Mm sio Mungu ila napata kigugumizi ikiwa dhihaka hii kwa wakrsto na kanisa kama itapita salama. Jambo zito linaenda tokea je kwanini?
Jibu nimoja tu Mungu hadhihakiwi chochote apandacho mtu ndicho anachovuna. Aling'aa kama kerubi ila sasa atashushwa ili watu wote wa Dunia na Taifa wajuwe Mungu yupo. Sii vinginevyo.
Awamu za Marais Waislamu hakuna Ufisadi ?Sio naamini ndivyo ilivyo,mbona mambo yako wazi kabisa mnajifanya kufumba macho kama vile hamuoni.
Fuatilia majina ya mafisadi waliojishindilia na mali za umma kwenye vitengo mbalimbali angalia majina yao utaelewa.
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Kashfa za shehe Alhad Mussa wa DSM ni mkatolikiSio Wakristo sema Roman Cathoric.
Usiseme awamu kwa sababu awamu haina dini,angalia idadi ya mafisadi mmoja mmoja kisha watafakari.Awamu za Marais Waislamu hakuna Ufisadi ?
Ndivyo unavyo fikiri
Siku zote usiwe mwepesi wa kuropoka na kulaumu.Mm ni Mkristo na kwa neema ya Mungu najitahidi kuishi Ukristo japo najua pia mm siobmkamilifu lakini acha niseme ukweli Wapo Wakristo wanaofanana na alosema mch.Kimaro.Kwa hiyo kasema kweli na kama Kuna ukweli Mungu atamtetea.Katika kumtumikia Mungu Kuna dhambi moja inawashusha nakuwapoteza watu wa Mungu wengi, dhambi hii imeandikwa hata ktk maandiko matakatifu.
Neno la Mungu linasema kijapo kiburi na majivuno basi mwisho wake ni kuanguka. Kiburi na majivuno ndio kitanzi cha watu mashuhuri wengi. Unaweza kuniuliza Manisha Nini?
Kabla ya Yulusifa kushushwa duniani Kiburi na majivuno ndio yalikuwa chanzo cha anguko lake. Bwana tupe unyenyekevu.
Yulusifa alikuwa na nguvu na Mamlaka kubwa kule Mbinguni akafika mahali akaona nguvu zake ni sawa na nguvu za Mungu hapo ndipo ukawa mwisho wake na hata leo Dunia imebadilika kwa tukio la yeye kushushwa chini. Ikumbukwe shetani alikuwa na malaika wengine waasi maelfu kwa maelfu nao walishuswa chini.
Je Mchungaji huyu alijiamini Nini hasa kisema wakristo sio waaminifu kama Waislam. Je wajuwa maana ya haya maneno na kile kitamkuta mtu huyu wa Mungu?
Maneno alio yasema ni maneno yasiofaa tena ni maneno yanaweza leta maangamizi ya halaiki pasipo kujuwa ila Asante Mungu Taifa la Tz ni watu wa amani. Mtakumbuka kikaragosi cha mtume kule France kilivyo leta mauwaji ya kutisha sana leo mtu mwenye hadhi ya Uchungaji tena Dr anasimama kwenye mimbari nakusema wakristo ya Kristo sio mwaminifu kama Mtume.
Nibora angenyamaza maana hili haliwezi pita pasipo jibiwa na Mungu mwenyewe. Mch Kimaro mpaka sasa naimani kila mtu anajiuliza akipata wapi moyo wakusimama kwenye madhabahu ya Kristo na kuudhalilisha umma wa wa Kristo ikumbukwe hatuitwi wakrsto tu ila tunaufia ukristo wetu. Sasa mtu mwenye hiyo nadhiri anasema sio mwaminifu kama mwenzake wa upande wa pili. Huyu hafai kusimama ktk madhabahu na ndio maana Sina uhakika kama atarudi.
Swali lakujiuliza je nikweli wakristo sio waaminifu? Na ndugu zetu ndio waaminifu? Mungu ndie atajibu hili mchana tena kweupe.
Mm sio Mungu ila napata kigugumizi ikiwa dhihaka hii kwa wakrsto na kanisa kama itapita salama. Jambo zito linaenda tokea je kwanini?
Jibu nimoja tu Mungu hadhihakiwi chochote apandacho mtu ndicho anachovuna. Aling'aa kama kerubi ila sasa atashushwa ili watu wote wa Dunia na Taifa wajuwe Mungu yupo. Sii vinginevyo.
Mungu aliacha uovu wake utokee kutoka ktk vilindi vya moyo wake ili ijulukane Mungu yupo.Ungetuambia huyo Lucifer alikitoa wapi kiburi wakati hakukua na shetani Mwingine ZAIDI yake!!?
Sikushangai ndugu....maana hata Yesu mpaka leo kuna MANYUMBU hayamuelewi.Sikuwahi mwelewa.
Nilihama.
Ili Binadamu .. aende motoni I!Mungu aliacha uovu wake utokee kutoka ktk vilindi vya moyo wake ili ijulukane Mungu yupo.
Kwahiyo unataka kumfananisha kimaro na Yesu.Sikushangai ndugu....maana hata Yesu mpaka leo kuna MANYUMBU hayamuelewi.
Farisayo mnafiki mkubwaKatika kumtumikia Mungu Kuna dhambi moja inawashusha nakuwapoteza watu wa Mungu wengi, dhambi hii imeandikwa hata ktk maandiko matakatifu.
Neno la Mungu linasema kijapo kiburi na majivuno basi mwisho wake ni kuanguka. Kiburi na majivuno ndio kitanzi cha watu mashuhuri wengi. Unaweza kuniuliza Manisha Nini?
Kabla ya Yulusifa kushushwa duniani Kiburi na majivuno ndio yalikuwa chanzo cha anguko lake. Bwana tupe unyenyekevu.
Yulusifa alikuwa na nguvu na Mamlaka kubwa kule Mbinguni akafika mahali akaona nguvu zake ni sawa na nguvu za Mungu hapo ndipo ukawa mwisho wake na hata leo Dunia imebadilika kwa tukio la yeye kushushwa chini. Ikumbukwe shetani alikuwa na malaika wengine waasi maelfu kwa maelfu nao walishuswa chini.
Je Mchungaji huyu alijiamini Nini hasa kisema wakristo sio waaminifu kama Waislam. Je wajuwa maana ya haya maneno na kile kitamkuta mtu huyu wa Mungu?
Maneno alio yasema ni maneno yasiofaa tena ni maneno yanaweza leta maangamizi ya halaiki pasipo kujuwa ila Asante Mungu Taifa la Tz ni watu wa amani. Mtakumbuka kikaragosi cha mtume kule France kilivyo leta mauwaji ya kutisha sana leo mtu mwenye hadhi ya Uchungaji tena Dr anasimama kwenye mimbari nakusema wakristo ya Kristo sio mwaminifu kama Mtume.
Nibora angenyamaza maana hili haliwezi pita pasipo jibiwa na Mungu mwenyewe. Mch Kimaro mpaka sasa naimani kila mtu anajiuliza akipata wapi moyo wakusimama kwenye madhabahu ya Kristo na kuudhalilisha umma wa wa Kristo ikumbukwe hatuitwi wakrsto tu ila tunaufia ukristo wetu. Sasa mtu mwenye hiyo nadhiri anasema sio mwaminifu kama mwenzake wa upande wa pili. Huyu hafai kusimama ktk madhabahu na ndio maana Sina uhakika kama atarudi.
Swali lakujiuliza je nikweli wakristo sio waaminifu? Na ndugu zetu ndio waaminifu? Mungu ndie atajibu hili mchana tena kweupe.
Mm sio Mungu ila napata kigugumizi ikiwa dhihaka hii kwa wakrsto na kanisa kama itapita salama. Jambo zito linaenda tokea je kwanini?
Jibu nimoja tu Mungu hadhihakiwi chochote apandacho mtu ndicho anachovuna. Aling'aa kama kerubi ila sasa atashushwa ili watu wote wa Dunia na Taifa wajuwe Mungu yupo. Sii vinginevyo.
Tumaini ana wivu wa kikeKwa nini hukuandika lolote kabla ya tukio la kusimamishwa?
Acha wivu wa kike fanya kazi zako. Imani hailazimishwii mtuKwani hakuna mtu mwingine mwenye karama ya kufundisha?.Binadamu sisi wajinga sana ,tunamfanya mtu fulani ni very special kana kwamba bila yeye kazi ya Mungu haiwezi kusonga mbele,hivi kabla yake ilikuwaje?.Kwa Imani yangu ni kwamba Roho Mtakatifu ndiye anagawa karama kwa watu kwa hiyo akitoka huyo,atakuja mwingine mzuri zaidi.
Rose Mhando aliimbaKatika kumtumikia Mungu Kuna dhambi moja inawashusha nakuwapoteza watu wa Mungu wengi, dhambi hii imeandikwa hata ktk maandiko matakatifu.