Mch. Kimaro wa KKKT niliziona Mbio zake nikajua mwisho hautokuwa mzuri

Mch. Kimaro wa KKKT niliziona Mbio zake nikajua mwisho hautokuwa mzuri

Huyo mchungaji yuko sawa kwa kauli yake hiyo. Chunguza idadi ya walamba asali, mafisadi, ndoa zilizo kufa, waongo, walaghai wengi ni wakristo.

Halafu kuna kashfa za mapdre na wachungaji dunia kote. Umeisha wahi kusikia kashfa kama hizo kwa mashehe wetu?
Siri za nyumbani kwako huzitangazi una Kaa kimya 🤐. Hata wa upande wa pili wanafanya maovu yakutisha hujawahi sikia wakiyasema kwenye majukwaa. Huwezi muita mtoto wako muovu na wajirani mzuri mbele ya kadam nasi. Unae muita mbaya anatoa sadaka anakulisha anakufanya upo hapo kwenye mimbari. Leo unamuita sio mwaminifu alafu unataka atoe sadaka?
 
Back
Top Bottom