Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Mbona kashfa za,Mashekhe zipo kibao tu!.Kuna kesi za ulawiti kwa watoto wa madrasa,Wizi mali za Bakwata,Migogoro ya ndani kwa ndani ktk Bakwata,kufuga majini,kufundisha watoto Ugaidi.N.K.Huyo mchungaji yuko sawa kwa kauli yake hiyo. Chunguza idadi ya walamba asali, mafisadi, ndoa zilizo kufa, waongo, walaghai wengi ni wakristo.
Halafu kuna kashfa za mapdre na wachungaji dunia kote. Umeisha wahi kusikia kashfa kama hizo kwa mashehe wetu?