Labda watakuwa wametumia sheria zao za kidini...Hata Mimi leo kupitia kwa mtu fulani (physically) kaniambia hili kuwa waarabu wameshika ndege yetu..
Lakini ktk akili ya kawaida, hili ni kama haliwezekani Kwa sababu sisi Tanganyika hatuna na hutukuwa na kesi yoyote katika mahakama yoyote huko duniani na Dubai au DP World..
Sasa hiyo ndege (mali ya serikali ya Tanzania) itakamatwa kwa amri ya nani kisheria?