chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
CDM wamejaribu sanaa ya maandamano si jana si leo. Wameshakuwa na slogani nyingi, ukuta, katiba, M4C.
Hakuna hata moja iliyowahi kufanikiwa.
Mchungaji Msigwq alisema kwamba unapofanya jambo lilelile kwa njia ile ile, utarajie matokeo tofauti, ni uwendawazimu. Njia ya majadiliano imeleta miswada ya sheria, njia ya maandamano haijaleta chochote.
CDM kurudia njia ile ile halafu watarajie matokeo tofauti, ni uwenda wazimu.
Kwa asili ya watanzania, hawataki mambo ya maandamano, vurugu.
Sisi Watanzania hatutaki mambo ya maandamano.