Pre GE2025 Mch Msigwa: Mbowe na CHADEMA hawana tena ujumbe kwa Watanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
16,950
Reaction score
13,527
Friends and Enemies,

Akiongea katika mahojiano yake na Salim Kikeke kupitia kipindi Cha kasri la Kikeke kinachorushwa na Crown Tv.

Mchungaji MSIGWA amesikika akizungumza Kwa hisia Kali kuwa kitu kingine kilichomuondoa CHADEMA ni Kwa chama Hiko kukosa muelekeo na dira.

Kwa Mfano anasema,mbowe amekuwa anatuandamanisha zaidi ya kilometer 20. Cha ajabu tukifika mwisho wa maandamano tumekusanyika kumsikiliza Hana message.

Anaishia tuh kusema eti kunja ngumiii, kunja ngumi for god's sake tukunje ngumi ili iweje?

MSIGWA ana UJUMBE, makamanda msikilizeni Kwa umakini mjifanyie tathmin before it's too late, CHADEMA untill when will you keep on running and running and running away?just know that you can't run away from your self,you can't run away from the truth.

Soma Pia: Mchungaji Msigwa: Wanaosema msitoke CHADEMA kwakuwa kuna future ni uongo mtupu, wao wenyewe hawana hiyo future

Because in the modern politics everyone thinks that his burden is the heaviest, but MSIGWA was not the burden to you CHADEMA.
 
Friends and Enemies,

Akiogea katika mahojiano yake na Salim Kikeke kupitia kipindi Cha kasri la Kikeke kinachorushwa na Crown Tv.

Mchungaji MSIGWA amesikika akizungumza Kwa hisia Kali kuwa kitu kingine kilichomuondoa CHADEMA,ni Kwa chama Hiko kukosa muelekeo na dira.

Kwa Mfano anasema,mbowe amekuwa anatuandamanisha zaidi ya kilometer 20,Cha ajabu tukifika mwisho wa maandamano tumekusanyika kumsikiliza Hana message..!!

Anaishia tuh kusema eti kunja ngumiii,kunja ngumiii..,for god's sake tukunje ngumi ili iweje?

MSIGWA ana UJUMBE, makamanda msikilizeni Kwa umakini mjifanyie tathmin before it's too late, CHADEMA untill when will you keep on running and running and running away?just know that you can't run away from your self,you can't run away from the truth.

Because in the modern politics everyone thinks that his burden is the heaviest,but MSIGWA was not the burden to you CHADEMA.
Leo naona hajasema kwamba mbowe kala hela za chadema digital na hii ni baada ya kushitakiwa Kwa defamation.
 
Friends and Enemies,

Akiogea katika mahojiano yake na Salim Kikeke kupitia kipindi Cha kasri la Kikeke kinachorushwa na Crown Tv.

Mchungaji MSIGWA amesikika akizungumza Kwa hisia Kali kuwa kitu kingine kilichomuondoa CHADEMA ni Kwa chama Hiko kukosa muelekeo na dira.

Kwa Mfano anasema,mbowe amekuwa anatuandamanisha zaidi ya kilometer 20. Cha ajabu tukifika mwisho wa maandamano tumekusanyika kumsikiliza Hana message.

Anaishia tuh kusema eti kunja ngumiii, kunja ngumi for god's sake tukunje ngumi ili iweje?

MSIGWA ana UJUMBE, makamanda msikilizeni Kwa umakini mjifanyie tathmin before it's too late, CHADEMA untill when will you keep on running and running and running away?just know that you can't run away from your self,you can't run away from the truth.

Because in the modern politics everyone thinks that his burden is the heaviest, but MSIGWA was not the burden to you CHADEMA.
Mkuu hao vijana wa chadema watakuja hapa kukutukana
Hawana uwezo wa kuhoji wala kujibu hoja
 
Mwenye hoja awezi akahamia CCM hapo ana hoja kwa ajiri ya tumbo lake na familia yake
 
..mimi naona Msigwa ana ugomvi binafsi na Mbowe.

..kwa hiki kinachoendelea inabidi tujiulize Msigwa mkweli ni yule wa Chadema, au huyu wa Ccm?

..Msigwa ameondoka Chadema na kuacha rekodi kubwa, ya miaka 15, ya hoja na misimamo dhidi ya Ccm. Sio rahisi kufuta rekodi hiyo kirahisi-rahisi kama anavyotaka kufanya.
 
Friends and Enemies,

Akiongea katika mahojiano yake na Salim Kikeke kupitia kipindi Cha kasri la Kikeke kinachorushwa na Crown Tv.

Mchungaji MSIGWA amesikika akizungumza Kwa hisia Kali kuwa kitu kingine kilichomuondoa CHADEMA ni Kwa chama Hiko kukosa muelekeo na dira.

Kwa Mfano anasema,mbowe amekuwa anatuandamanisha zaidi ya kilometer 20. Cha ajabu tukifika mwisho wa maandamano tumekusanyika kumsikiliza Hana message.

Anaishia tuh kusema eti kunja ngumiii, kunja ngumi for god's sake tukunje ngumi ili iweje?

MSIGWA ana UJUMBE, makamanda msikilizeni Kwa umakini mjifanyie tathmin before it's too late, CHADEMA untill when will you keep on running and running and running away?just know that you can't run away from your self,you can't run away from the truth.

Because in the modern politics everyone thinks that his burden is the heaviest, but MSIGWA was not the burden to you CHADEMA.
Chama Hiko!! Ndo nini?
 
Mkuu hao vijana wa chadema watakuja hapa kukutukana
Hawana uwezo wa kuhoji wala kujibu hoja
Matusi siyo tija Mkuu,kama hawatokaa wafanyie kazi hayo mapungufu basi wanajiandalia kifo chao wenyewe.
 
..mimi naona Msigwa ana ugomvi binafsi na Mbowe.

..kwa hiki kinachoendelea inabidi tujiulize Msigwa mkweli ni yule wa Chadema, au huyu wa Ccm?

..Msigwa ameondoka Chadema na kuacha rekodi kubwa, ya miaka 15, ya hoja na misimamo dhidi ya Ccm. Sio rahisi kufuta rekodi hiyo kirahisi-rahisi kama anavyotaka kufanya.
Bila shaka,hata yeye hoja yake kaweka wazi kuwa CHADEMA kama. Chama kinaangamia Kwa kukosa maarifa mapya,na kwamba Mwenyekiti amehodhi chama na kukiweka mfukoni.
 
Friends and Enemies,

Akiongea katika mahojiano yake na Salim Kikeke kupitia kipindi Cha kasri la Kikeke kinachorushwa na Crown Tv.

Mchungaji MSIGWA amesikika akizungumza Kwa hisia Kali kuwa kitu kingine kilichomuondoa CHADEMA ni Kwa chama Hiko kukosa muelekeo na dira.

Kwa Mfano anasema,mbowe amekuwa anatuandamanisha zaidi ya kilometer 20. Cha ajabu tukifika mwisho wa maandamano tumekusanyika kumsikiliza Hana message.

Anaishia tuh kusema eti kunja ngumiii, kunja ngumi for god's sake tukunje ngumi ili iweje?

MSIGWA ana UJUMBE, makamanda msikilizeni Kwa umakini mjifanyie tathmin before it's too late, CHADEMA untill when will you keep on running and running and running away?just know that you can't run away from your self,you can't run away from the truth.

Because in the modern politics everyone thinks that his burden is the heaviest, but MSIGWA was not the burden to you CHADEMA.
1000012569.png
 
Hicho kifo hakifiki tu? Maana kila uchaguzi tunashuhudia chaguzi za kipuuzi ili kuwapora CHADEMA kura.
Kumbe Mkuu kifo unataka kifike vipi ili ujue kuwa kimeshafika??

HUONI hata dalili kuwa chama kimekosa succession plans?
 
Alipokuwa CHADEMA ulikuwa unasema hana hoja, leo amehamia ccm unasema ana hoja! Cha ajabu hoja zenyewe ni ugomvi binafsi na Mbowe.
Bila shaka umenielewa vizuri Mkuu, kule alikuwa anakosa hoja Kwa kuwa alikuwa anajicontradict mwenyewe,Kwa Sasa amesikiliza sauti ya ndani kutoko moyoni mwake na kuutambua ukweli,asikilizwe Sasa.
 
Friends and Enemies,

Akiongea katika mahojiano yake na Salim Kikeke kupitia kipindi Cha kasri la Kikeke kinachorushwa na Crown Tv.

Mchungaji MSIGWA amesikika akizungumza Kwa hisia Kali kuwa kitu kingine kilichomuondoa CHADEMA ni Kwa chama Hiko kukosa muelekeo na dira.

Kwa Mfano anasema,mbowe amekuwa anatuandamanisha zaidi ya kilometer 20. Cha ajabu tukifika mwisho wa maandamano tumekusanyika kumsikiliza Hana message.

Anaishia tuh kusema eti kunja ngumiii, kunja ngumi for god's sake tukunje ngumi ili iweje?

MSIGWA ana UJUMBE, makamanda msikilizeni Kwa umakini mjifanyie tathmin before it's too late, CHADEMA untill when will you keep on running and running and running away?just know that you can't run away from your self,you can't run away from the truth.

Because in the modern politics everyone thinks that his burden is the heaviest, but MSIGWA was not the burden to you CHADEMA.
Jamaa uliichukia sana chadema kwa sababu ya Padre Silaa. Sasa hivi nadhani baada ya Silaa kurudi CCM, umepunguza chuki….siasa zako ni za kidini mnooooooo.
 
Msigwa tapeli tu Hilo la kisiasa linatafuta udc kwa mgongo wa mbowe na CHADEMA. Na chama chama changu CCM ntawashangaa kumpa cheo huyo tapeli.
 
Back
Top Bottom